Charles Babbage : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Charles Babbage - 1860.jpg|thumb|Hii ni picha ya Charles Babbage.]]
[[Picha:Charles Babbage - 1860.jpg|thumb|Hii ni picha ya Charles Babbage.]]
'''Charles Babbage''' ([[26 Desemba]] [[1791]] – [[18 Oktoba]] [[1871]]) alikuwa [[mwanahisabati]], [[mwanafalsafa]], [[mwanzilishi]] na [[mhandisi]] wa [[mitambo]] ya [[Kompyuta]].
'''Charles Babbage''' ([[26 Desemba]] [[1791]] – [[18 Oktoba]] [[1871]]) alikuwa [[mwanahisabati]], [[mwanafalsafa]], [[mwanzilishi]] na [[mhandisi]] wa [[mitambo]] ya [[Kompyuta]].
ambaye Mawazo yake yanachukuliwa na wengine kuwa "[[baba]] wa [[kompyuta]]" kwa kuwa alitengeneza [[mashine]] ambayo hadi sasa [[wanasayansi]] wengine wanatohoa kutoka kwake inayoitwa "Analytical Mashine". Ni kama [[kompyuta]] ya kwanza: mawazo yote muhimu ya kisasa ya [[kompyuta]] yanapatikana katika hiyo [[injini]] ya [[uchambuzi]] wa Babbage ingawa yeye siye kweli aliyeanzisha watu kutumia computa kwani tunasema computa ni kitu chochote unachotumia kufanya mahesabu yoyote[[:Picha:]]

Mawazo yake yanachukuliwa na wengine kuwa "[[baba]] wa [[kompyuta]]" kwa kuwa alitengeneza [[mashine]] ambayo hadi sasa [[wanasayansi]] wengine wanatohoa kutoka kwake inayoitwa "Analytical Mashine". Ni kama [[kompyuta]] ya kwanza: mawazo yote muhimu ya kisasa ya [[kompyuta]] yanapatikana katika hiyo [[injini]] ya [[uchambuzi]] wa Babbage.


{{mbegu-mwanasayansi}}
{{mbegu-mwanasayansi}}

Pitio la 13:14, 9 Agosti 2020

Hii ni picha ya Charles Babbage.

Charles Babbage (26 Desemba 179118 Oktoba 1871) alikuwa mwanahisabati, mwanafalsafa, mwanzilishi na mhandisi wa mitambo ya Kompyuta.

 ambaye Mawazo yake yanachukuliwa na wengine kuwa "baba wa kompyuta" kwa kuwa alitengeneza mashine ambayo hadi sasa wanasayansi wengine wanatohoa kutoka kwake inayoitwa "Analytical Mashine". Ni kama kompyuta ya kwanza: mawazo yote muhimu ya kisasa ya kompyuta yanapatikana katika hiyo injini ya uchambuzi wa Babbage ingawa yeye siye kweli aliyeanzisha  watu kutumia computa kwani tunasema computa ni kitu chochote unachotumia kufanya mahesabu yoyote[[:Picha:]] 
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Babbage kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.