James Hadley Chase : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
(+Chase_writer.jpg #WPWP #WPWPTZ) |
No edit summary Tag: Manual revert |
||
'''James Hadley Chase''' (24 Disemba 1906 – 6 Februari 1985)<ref>Obituary ''[[Variety Obituaries|Variety]]'' 13 February 1985</ref> alikuwa mwandishi kutoka nchini [[Uingereza]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa '''René Lodge Brabazon Raymond''', alifahamika kwa majina yake mengine kadhaa ikiwa ni pamoja na James Hadley Chase, '''James L. Docherty''', '''Raymond Marshall''', '''R. Raymond''', na '''Ambrose Grant'''.
|