Raimond Aumann : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:Raimond Aumann.jpg|thumbnail|right|200px|Raimond Aumann]]

'''Raimond Aumann''' (amezaliwa [[12 Oktoba]] [[1963]]) alikuwa mchezaji wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Alikuwa golikipa wa [[Bundesliga]] kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa [[FC Bayern Munich]] (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. [[Jean-Marie Pfaff]]).

Pitio la 11:13, 1 Agosti 2020

Raimond Aumann

Raimond Aumann (amezaliwa 12 Oktoba 1963) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa golikipa wa Bundesliga kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa FC Bayern Munich (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. Jean-Marie Pfaff).

Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba moja kwa mara ya kwanza mpaka alipokuja kuumia mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 1985. Pale Bw. Jean-Marie Pfaff alipoondoka katika kikosi cha Bayern Munich mnamo mwaka 1988, Raimond Aumann akawa ndiyo golikipa wa kwanza. Raimond pia alifirika kuwa ndiyo golikipa bora wa Ujerumani kwa kipindi hicho.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raimond Aumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.