Philippus Mwarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
+Philippus Arabicus.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Philippus Arabicus.jpg|thumbnail|right|280px|Marcus Julius Philippus]]
'''Marcus Julius Philippus''' (takriban [[204]] – [[Septemba]] [[249]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[Februari]] [[244]] hadi [[kifo]] chake. Alipenda [[Ukristo]].
'''Marcus Julius Philippus''' (takriban [[204]] – [[Septemba]] [[249]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[Februari]] [[244]] hadi [[kifo]] chake. Alipenda [[Ukristo]].



Toleo la sasa la 14:58, 28 Julai 2020

Marcus Julius Philippus

Marcus Julius Philippus (takriban 204Septemba 249) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alipenda Ukristo.

Alimfuata Gordian III akauawa na mwandamizi wake, Gaius Messius Quintus Decius ambaye alianza mapema dhuluma mpya dhidi ya Wakristo.

Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa na wazazi Waarabu katika jimbo la Arabia karibu na mji wa Damasko (Syria).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philippus Mwarabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.