Siku ya kimataifa ya lugha ya alama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Siku ya lugha ya alama duniani hadi Siku ya kimataifa ya lugha ya alama: usahihi wa jina
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:17, 28 Julai 2020

Faili:IDSL Logo.png
Nembo ya Siku ya Lugha ya Alama Duniani

Siku ya kimataifa ya lugha ya alama duniani (kwa Kiingereza International Day of Sign Languages (IDSL) ) husherehekewa tarehe 23 mwezi Septemba kila mwaka ikiambatana na wiki ya viziwi duniani. Kuachaguliwa kwa tarehe 23 mwezi Sepmtemba kunaendana moja kwa moja na tarehe ya kuanzishwa kwa shirikisho la wasiosikia duniani World Federation of the Deaf lililoanzishwa mwaka 1951 . [1][2]

Kauli Mbiu

  • 2019: Lugha ya Alama Haki kwa Wote! [3]

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya kimataifa ya lugha ya alama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "United Nations declared 23 September as International Day of Sign Languages - WFD". WFD. Iliwekwa mnamo 2017-12-24. 
  2. "Third Committee Approves 16 Drafts with Friction Exposed in Contentious Votes on Glorification of Nazism, Cultural Diversity, Right to Development ! Meetings Coverage and Press Releases". UN. Iliwekwa mnamo 2017-12-24. 
  3. "Announcement: Sub-themes of the International Week of the Deaf - WFD". WFD. Iliwekwa mnamo 2019-09-24.