Visiwa vya Cocos (Keeling) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 86 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q36004 (translate me)
+Cocos_(Keeling)_Islands_Airport_-_RWY33.jpg #WPWP #WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Cocos_(Keeling)_Islands_Airport_-_RWY33.jpg|thumbnail|right|280px|Kituo cha ndege cha kisiwa cha Cocos+]]
[[Picha:Cocos (Keeling) Islands-CIA WFB Map.png|thumb|350px|Ramani ya Visiwa vya Keeling (Cocos)]]
[[Picha:Cocos (Keeling) Islands-CIA WFB Map.png|thumb|350px|Ramani ya Visiwa vya Keeling (Cocos)]]
[[Picha:Keelingislands.png|thumb|250px|Mahali pa Visiwa vya Keeling (Cocos)]]
[[Picha:Keelingislands.png|thumb|250px|Mahali pa Visiwa vya Keeling (Cocos)]]

Toleo la sasa la 13:11, 27 Julai 2020

Kituo cha ndege cha kisiwa cha Cocos+
Ramani ya Visiwa vya Keeling (Cocos)
Mahali pa Visiwa vya Keeling (Cocos)

Visiwa vya Cocos (Keeling) ni eneo la ng'ambo la Australia katika Bahari Hindi. Eneo lao ni atolli mbili katikati ya Australia na Sri Lanka, takriban 3685 km upande wa magharibi ya Durban (Australia) na 1,300 km upande wa kusini ya Singapur. Anwani ya kijiografia ni 12°07′S, 96°54′E.

Eneo lote la nchi kavu ni 14.4 km² na idadi ya wakazi takriban watu 700.