Carl Sagan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Removing Carl_Sagan_1951.png, it has been deleted from Commons by Gestumblindi because: per c:Commons:Deletion requests/File:Carl Sagan 1951.png.
#WPWP#WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:Carl Sagan, 1994.jpg|thumbnail|right|200px|Carl Sagan mwaka 1994]]

'''Carl Edward Sagan''' ([[Novemba 9]], [[1934]] - [[Desemba 20]], [[1996]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] wa [[Marekani]] aliyejaribu kufanya [[sayansi]] kuwa maarufu.
'''Carl Edward Sagan''' ([[Novemba 9]], [[1934]] - [[Desemba 20]], [[1996]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] wa [[Marekani]] aliyejaribu kufanya [[sayansi]] kuwa maarufu.



Pitio la 13:46, 25 Julai 2020

Faili:Carl Sagan, 1994.jpg
Carl Sagan mwaka 1994

Carl Edward Sagan (Novemba 9, 1934 - Desemba 20, 1996) alikuwa mwanaastronomia wa Marekani aliyejaribu kufanya sayansi kuwa maarufu.

Alifikiria kuhusu maisha gani katika sayari nyingine yanaweza kuwepo. Alisema kuwa watu wanapaswa kutafuta maisha kwenye sayari nyingine (SETI).

Yeye ni maarufu ulimwenguni kwa vitabu vyake vya sayansi na mfululizo wa televisheni Cosmos, ambalo aliandika na kuwasilisha. Alisema watu wanapaswa kutumia njia ya kisayansi.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Sagan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.