Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: en:African hip hop#Tanzania
Mstari 19: Mstari 19:


[[de:Bongo Flava]]
[[de:Bongo Flava]]
[[en:Tanzanian hip hop]]
[[en:African hip hop#Tanzania]]

Pitio la 22:43, 12 Februari 2008

Kundi la Hip Hop Kutoka Kaskazini mwa Tanzania 'Arusha' ( Nako 2 Nako )

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki. Ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa wa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje