Uwindaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d +image #WPWP,#WPWPTZ
d +image #WPWP,#WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Diego Velázquez - Retrato del Cardinal-Infante Fernando de Austria.jpg|thumb|150px|Mwindaji maarufu alivyochorwa na [[Diego Velázquez]] akiwa na [[silaha]] na [[mbwa]].]]
[[File:Diego Velázquez - Retrato del Cardinal-Infante Fernando de Austria.jpg|thumb|120px|Mwindaji maarufu alivyochorwa na [[Diego Velázquez]] akiwa na [[silaha]] na [[mbwa]].]]
[[Picha:Bushmen hunters.jpg|thumb|Mwindaji akiwinda]]
[[Picha:Bushmen hunters.jpg|thumb|120|Mwindaji akiwinda]]
'''Uwindaji''' (kwa [[Kiingereza]] ''Hunting'') ni [[desturi]] ya kuua au kukamata [[wanyama]], hasa kwa ajili ya kujipatia [[chakula]], lakini pengine kwa [[biashara]], [[burudani]] tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu.
'''Uwindaji''' (kwa [[Kiingereza]] ''Hunting'') ni [[desturi]] ya kuua au kukamata [[wanyama]], hasa kwa ajili ya kujipatia [[chakula]], lakini pengine kwa [[biashara]], [[burudani]] tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu.



Pitio la 13:29, 20 Julai 2020

Mwindaji maarufu alivyochorwa na Diego Velázquez akiwa na silaha na mbwa.
Mwindaji akiwinda

Uwindaji (kwa Kiingereza Hunting) ni desturi ya kuua au kukamata wanyama, hasa kwa ajili ya kujipatia chakula, lakini pengine kwa biashara, burudani tu, kama si kwa kukomesha wanyama waharibifu.

Mbali ya uwindaji halali, kuna ujangili unaohatarisha aina mbalimbali za wanyama kiasi cha kuwamaliza kabisa duniani.

Kama mnyama husika ni samaki, kazi hiyo inaitwa uvuvi.

Kabla ya kuanza uzalishaji, kwa karne nyingi binadamu wote walitegemea hasa uchumaji wa matunda na uwindaji.