Wafanyakazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d +File:Healthcare workers wearing PPE 03.jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Healthcare workers wearing PPE 03.jpg|thumb|right|Wafanyakazi wa Afya wakivalia [[vifaa]] vya kujikinga na [[Corona]], [[Kerala]] [[India]]]]
'''Wafanyakazi''' (kwa [[Kiingereza]] "workers") ni [[watu]] walioajiriwa ili kufanya [[kazi]] fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata [[malipo]] kadiri ya makubaliano na [[mwajiri]].
'''Wafanyakazi''' (kwa [[Kiingereza]] "workers") ni [[watu]] walioajiriwa ili kufanya [[kazi]] fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata [[malipo]] kadiri ya makubaliano na [[mwajiri]].



Pitio la 12:58, 20 Julai 2020

Wafanyakazi wa Afya wakivalia vifaa vya kujikinga na Corona, Kerala India

Wafanyakazi (kwa Kiingereza "workers") ni watu walioajiriwa ili kufanya kazi fulani kwa ufanisi na hatimaye kupata malipo kadiri ya makubaliano na mwajiri.

Tukizungumzia wafanyakazi walioajiriwa tunamaanisha wale wafanyakazi ambao wanafanya biashara za kutokana na mwongozo kutoka kwa wakuu wao wa kazi.

Pengine neno hilo linataja wafanyakazi waliojiajiri, yaani wale ambao wameanzisha biashara zao wenyewe na zinawalipa wao wenyewe kutokana na ununuzi wa biashara hizo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wafanyakazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.