Philip Hench : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 27 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q235651 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Philip Showalter Hench.jpg|thumbnail|right|200px|Philip Showalter Hench]]

'''Philip Showalter Hench''' ([[28 Februari]] [[1896]] – [[30 Machi]] [[1965]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Marekani]]. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza [[homoni]] katika gamba la [[tezi adrenali]]. Pia alitafiti kutibu [[ugonjwa wa baridi yabisi]] (''arthritis''). Mwaka wa [[1950]], pamoja na [[Edward Kendall]] na [[Tadeus Reichstein]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.

Toleo la sasa la 15:40, 19 Julai 2020

Philip Showalter Hench

Philip Showalter Hench (28 Februari 189630 Machi 1965) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza homoni katika gamba la tezi adrenali. Pia alitafiti kutibu ugonjwa wa baridi yabisi (arthritis). Mwaka wa 1950, pamoja na Edward Kendall na Tadeus Reichstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philip Hench kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.