Max Theiler : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 36 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q46928 (translate me)
+image #WPWP#WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Max Theiler nobel.jpg|thumbnail|right|200px|Max Theiler]]

'''Max Theiler''' ([[30 Januari]] [[1899]] – [[11 Agosti]] [[1972]]) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya [[Afrika Kusini]]. Baadaye alihamia na kupata uraia wa [[Marekani]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo maradhi mbalimbali. Pia aligundua [[dawa ya chanjo]] dhidi ya [[homa ya manjano]]. Mwaka wa [[1951]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.

Pitio la 15:38, 19 Julai 2020

Max Theiler

Max Theiler (30 Januari 189911 Agosti 1972) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Baadaye alihamia na kupata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo maradhi mbalimbali. Pia aligundua dawa ya chanjo dhidi ya homa ya manjano. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Theiler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.