Rukia yaliyomo

Hans Buchner : Tofauti kati ya masahihisho

73 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
+image #WPWP#WPWPTZ
d (Bot: Migrating 5 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q77398 (translate me))
(+image #WPWP#WPWPTZ)
 
[[picha:Hans Buchner 1902 MMW.png |thumbnail|right|200px|Hans Buchner]]
 
'''Hans Ernst August Buchner''' ([[16 Desemba]] [[1850]] – [[5 Aprili]] [[1902]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[virusi]] visababishavyo magonjwa na [[damu]] ya binadamu. Alikuwa kaka ya [[Eduard Buchner]] aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa 1907.