Muziki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d #WPWP
d #WPWP
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Music lesson Staatliche Antikensammlungen 2421.jpg|thumb|[[Mchoro]] wa [[Ugiriki wa Kale]] juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki ([[510 KK]] hivi).]]
[[image:Music lesson Staatliche Antikensammlungen 2421.jpg|thumb|[[Mchoro]] wa [[Ugiriki wa Kale]] juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki ([[510 KK]] hivi).]]
[[File:Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan VP8.webm|thumb|left|Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan VP8]]
[[File:Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan VP8.webm|thumb|left|Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan]]
'''Muziki''' ni aina ya [[sanaa]] inayotumia [[sauti]] mbalimbali: za [[kibinadamu]] na za [[ala za muziki]], ama kwa pamoja au kila moja pekee.
'''Muziki''' ni aina ya [[sanaa]] inayotumia [[sauti]] mbalimbali: za [[kibinadamu]] na za [[ala za muziki]], ama kwa pamoja au kila moja pekee.



Pitio la 02:56, 11 Julai 2020

Mchoro wa Ugiriki wa Kale juu ya chombo ukionyesha kipindi cha muziki (510 KK hivi).
Faili:Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan VP8.webm
Rekebisha hali yangu - Alex Method ft. Subira & Danstan

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali: za kibinadamu na za ala za muziki, ama kwa pamoja au kila moja pekee.

Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousikee).

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani mara nyingi pamoja na ala za muziki. Kwa wanaorekodi sauti, wao huenda kwa studio kurekodi na huchukuliwa kwa kinasasauti kilichoambatanishwa na tarakilishi na kudhibitiwa na kompresa.

Muziki katika Ulaya

Muziki maarufu:


Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.