Mataifa ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Nchi hizo zilipigana dhidi ya [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka 1917 Urusi ilitoka katika vita lakini Marekani na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano Najd (baadaye Saudia), Japani, na nchi mbalimbali za Amerika ya Kusini.
Nchi hizo zilipigana dhidi ya [[Ufaransa]], [[Ufalme wa Maungano|Uingereza]], [[Ubelgiji]], [[Ureno]], [[Serbia]], [[Urusi]] na [[Italia]]. Tangu mwaka 1917 Urusi ilitoka katika vita lakini Marekani na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano Najd (baadaye Saudia), Japani, na nchi mbalimbali za Amerika ya Kusini.


Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho wa Dola la Osmani na milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa idadi ya nchi mpya katika Ulaya ya Mashariki (Poland, Chekoslovakia, Kroatia), na kukabidhiwa kwa [[koloni za Ujerumani]] (pamoja na Tanganyika, Rwanda, Burundi) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].
Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa Milki ya Osmani na Milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa idadi ya nchi mpya katika Ulaya ya Mashariki ([[Poland]], [[Chekoslovakia]], [[Kroatia]]), na kukabidhiwa kwa [[koloni za Ujerumani]] (pamoja na Tanganyika, Rwanda, Burundi) kwa nchi nyingine kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]].





Pitio la 22:01, 27 Juni 2020

Mataifa ya Kati (Central Powers (nyekundu)) na wapinzani wao katika Ulaya wakati wa Vita Kuu ya Kwanza


Mataifa ya Kati yalikuwa ushirikiano wa nchi zilizoshikamana katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia dhidi ya Mataifa ya Ushirikiano. Nchi hizo zilikuwa Ujerumani, Austria-Hungaria, Milki ya Osmani (baadaye Uturuki) na Bulgaria.

Nchi hizo zilipigana dhidi ya Ufaransa, Uingereza, Ubelgiji, Ureno, Serbia, Urusi na Italia. Tangu mwaka 1917 Urusi ilitoka katika vita lakini Marekani na nchi mbalimbali zilingia upande wa ushirikiano, mfano Najd (baadaye Saudia), Japani, na nchi mbalimbali za Amerika ya Kusini.

Mataifa ya Kati yalishindwa; tokeo la vita lilikuwa mwisho na mgawanyo wa Milki ya Osmani na Milki ya Austria-Hungaria, pamoja na kutokea kwa idadi ya nchi mpya katika Ulaya ya Mashariki (Poland, Chekoslovakia, Kroatia), na kukabidhiwa kwa koloni za Ujerumani (pamoja na Tanganyika, Rwanda, Burundi) kwa nchi nyingine kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa.