Microsoft : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Fixed typo
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile app edit Android app edit
Mstari 22: Mstari 22:
}}
}}


'''Microsoft Corporation''' ni [[kampuni]] ya kimataifa ya [[teknolojia]] ya [[kompyuta]]. <ref name="2005annual">{{cite web | title= Microsoft Corporation Annual Report 2005 | url= http://www.microsoft.com/msft/ar05/downloads/MS_2005_AR.doc | publisher = Microsoft | format = doc | accessdate= 1 Oktoba | accessyear=2005}}</ref> Neno "Microsoft" ni [[neno unganifu]] lilitokana na maneno ya [[Kiingereza]] "microcomputer" and "software".
'''Microsoft Corporation''' ni [[kampuni]] ya kimataifa ya [[teknolojia]] ya [[kompyuta]]. <ref name="2005annual">{{cite web | title= Microsoft Corporation Annual Report 2005 | url= http://www.microsoft.com/msft/ar05/downloads/MS_2005_AR.doc | publisher = Microsoft | format = doc | accessdate= 1 Oktoba | accessyear=2005}}</ref> Neno "Microsoft" ni [[neno unganifu]] lilitokana na maneno ya [[Kiingereza]] "microcomputer" na "software".


Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III (anayefahamika zaidi kama [[Bill Gates]]) na [[Paul Allen]] mnamo [[4 Aprili]] [[1975]], ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Disk Operating System]] (MS-DOS) katikati ya [[miaka ya 1980]], ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]]<ref name="keyevents">{{cite web |title=Information for Students: Key Events In Microsoft History |url=http://www.microsoft.com/about/companyinformation/visitorcenter/student.mspx |publisher=Microsoft Visitor Center Student Information |accessdate=1 Oktoba 2005 |format=doc}}</ref>.
Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III (anayefahamika zaidi kama [[Bill Gates]]) na [[Paul Allen]] mnamo [[4 Aprili]] [[1975]], ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za [[Altair 8800]]. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama [[Microsoft- Disk Operating System]] (MS-DOS) katikati ya [[miaka ya 1980]], ikifuatiwa na programu ya [[Microsoft Windows]]<ref name="keyevents">{{cite web |title=Information for Students: Key Events In Microsoft History |url=http://www.microsoft.com/about/companyinformation/visitorcenter/student.mspx |publisher=Microsoft Visitor Center Student Information |accessdate=1 Oktoba 2005 |format=doc}}</ref>.

Pitio la 15:13, 22 Juni 2020

Mti unaotunzwa na Microsoft karibu na ofisi ya Dell, Bangalore, India.
Microsoft
IlipoanzishwaAlbuquerque, New Mexico (Aprili 4, 1975 (1975-04-04))[1]
Makao MakuuRedmond, Washington, Marekani
Mapato kabla ya riba na kodidecrease US$ 20.363 billion (2009)[2]
Net incomedecrease US$ 14.569 billion (2009)[2]
Total equityincrease US$ 39.558 billion (2009)[2]
TovutiMicrosoft.com

Microsoft Corporation ni kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya kompyuta. [3] Neno "Microsoft" ni neno unganifu lilitokana na maneno ya Kiingereza "microcomputer" na "software".

Kampuni ilianzishwa na William Henry Gates III (anayefahamika zaidi kama Bill Gates) na Paul Allen mnamo 4 Aprili 1975, ili kuendeleza na kuuza mifumo-ongozo rahisi kwa ajili ya kompyuta ndogo za Altair 8800. Kampuni hili liliinuka na kutawala soko la utengenezaji wa mifumo-ongozo ya kompyuta binafsi kupitia mfumo wake unaojulikana kama Microsoft- Disk Operating System (MS-DOS) katikati ya miaka ya 1980, ikifuatiwa na programu ya Microsoft Windows[4].

Makao makuu yako Redmond, Washington, Marekani.

Kampuni hii inaendeleza, kutengeneza, kutoa leseni, kusaidia na kuuza programu za kompyuta, vifaa vya umeme, kompyuta binafsi pamoja na huduma zihusianazo na hizo. Programu yake ya kompyuta ijulikanayo sana ni mfumo ongozo wa kompyuta wa Microsoft Windows, na programu nyingine kama vile, Microsoft Office, na Internet Explorer pamoja na Edge Web. Vifaa vyake maarufu ni vifaa michezo vya Xbox pamoja na mfumo wa kioomguso uitwao Microsoft Surface lineup kwa ajili ya kompyuta binafsi.

Kwa mwaka wa 2016, ndiyo kampuni kubwa duniani yenye kutengeneza programu za kompyuta kwa makusanyo ya jumla, na ni moja kati ya kampuni zenye thamani kubwa zaidi duniani. Microsoft ni kampuni iliyoko nafasi ya 30 katika orodha ya mwaka 2018 ya Fortune 500 ya mashirika makuu makubwa ya Marekani na mapato ya jumla.

Tanbihi

  1. "Bill Gates: A timeline", news.bbc.co.uk, BBC News, 2006-06-15. Retrieved on 2008-08-18. 
  2. 2.0 2.1 2.2 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named 2009financials
  3. "Microsoft Corporation Annual Report 2005" (doc). Microsoft. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba.  Unknown parameter |accessyear= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Information for Students: Key Events In Microsoft History" (doc). Microsoft Visitor Center Student Information. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2005.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Microsoft kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.