Shemasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:DeaconsingingExsultet2007.jpg|thumb|right|Shemasi wa Kanisa Katoliki huko [[Polandi]] akiimba [[Mbiu ya Pasaka|mbiu]] ''[[Exsultet]]'' [[usiku wa Pasaka]].]]
[[Image:Orthodox Deacon.jpg|thumb|Shemasi wa [[Kiorthodoksi]] katika [[mavazi]] yake rasmi.]]
'''Shemasi''' ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].
'''Shemasi''' ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].



Pitio la 06:14, 15 Juni 2020

Shemasi wa Kanisa Katoliki huko Polandi akiimba mbiu Exsultet usiku wa Pasaka.
Shemasi wa Kiorthodoksi katika mavazi yake rasmi.

Shemasi ni kiongozi wa Kanisa anayeunganisha wenye daraja za juu na walei.

Hii ni kwa sababu ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa ya Ukristo. Unatolewa na Askofu kwa kumwekea muumini mikono na kumuombea ili atoe vizuri huduma ya Neno la Mungu, ya liturujia na ya matendo ya upendo. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya upadri.

Katika Kanisa la Moravian ushemasi ni ngazi ya kwanza ya uchungaji.

Katika historia ya Kanisa mashemasi waliotoa mchango mkubwa, mara nyingi kwa kukamilisha ushuhuda wao kwa kumfia Yesu.

Kati yao maarufu zaidi ni Laurenti Mfiadini na Fransisko wa Asizi.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shemasi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.