Shemasi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Shemasi ni kiongozi wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye daraja za juu na walei. Ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika [[Kanisa Katoliki]] na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea mtu mikono na kumuombea ili atoe huduma ya Neno la Mungu, ya liturujia na ya upendo. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya [[upadri]].
'''Shemasi''' ni [[kiongozi]] wa [[Kanisa]] anayeunganisha wenye [[Daraja takatifu|daraja]] za juu na [[walei]].
Hii ni kwa sababu ushemasi ni daraja ya [[tatu]] na ya mwisho katika [[Kanisa Katoliki]] na [[madhehebu]] mengine kadhaa ya [[Ukristo]]. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea muumini [[mikono]] na kumuombea ili atoe vizuri [[huduma]] ya [[Neno la Mungu]], ya [[liturujia]] na ya matendo ya [[upendo]]. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya [[upadri]].


Katika [[Kanisa la Moravian]] ushemasi ni ngazi ya kwanza ya [[Mchungaji|uchungaji]].
Katika [[Kanisa la Moravian]] ushemasi ni ngazi ya kwanza ya [[Mchungaji|uchungaji]].


Katika [[historia ya Kanisa]] mashemasi waliotoa mchango mkubwa, mara nyingi kwa kukamilisha [[ushuhuda]] wao kwa [[kifodini|kumfia]] [[Yesu]].
[[Jamii:Dini]]

[[Jamii:Ukristo]]
Kati yao maarufu zaidi ni [[Laurenti Mfiadini]] na [[Fransisko wa Asizi]].
{{mbegu-Ukristo}}
[[Jamii:Viongozi wa Kikristo]]
[[Jamii:Kanisa]]
[[Jamii:Kanisa]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]

Pitio la 06:09, 15 Juni 2020

Shemasi ni kiongozi wa Kanisa anayeunganisha wenye daraja za juu na walei.

Hii ni kwa sababu ushemasi ni daraja ya tatu na ya mwisho katika Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa ya Ukristo. Unatolewa na Askofu kwa kumwekea muumini mikono na kumuombea ili atoe vizuri huduma ya Neno la Mungu, ya liturujia na ya matendo ya upendo. Unaweza kutolewa kwa namna ya kudumu au kama hatua ya kuelekea daraja ya upadri.

Katika Kanisa la Moravian ushemasi ni ngazi ya kwanza ya uchungaji.

Katika historia ya Kanisa mashemasi waliotoa mchango mkubwa, mara nyingi kwa kukamilisha ushuhuda wao kwa kumfia Yesu.

Kati yao maarufu zaidi ni Laurenti Mfiadini na Fransisko wa Asizi.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shemasi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.