Tofauti kati ya marekesbisho "Binadamu"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes added ,  miezi 10 iliyopita
Tags: VisualEditor Mobile edit Mobile web edit
Lakini akitaka kujifahamu haitoshi asikilize mafundisho hayo au kusoma vitabu vingi juu yake.
 
Anahitaji kuishi katika [[mazingira]] bora ambapo ajisikie nyumbani, huru na mtulivu kwa [[kupendana]] na wenzake, kusikiliza watu wanaomfahamu (hasa walezi wake) wanasema nini juu yake, kujipatia muda wa kutulia peke yake na kujifikiria kulingana na maneno yao, kujichunguza kwa makini kuanzia miaka ya utotoni.
 
Kwa kuwa [[utu]] unategemea [[urithi]], mazingira na [[utashi]] wa kila mmoja, anapaswa kuchunguza hayo yote yaliyochangia kumjenga.
 
Mara kwa mara ajitenge na watu na shughuli ili kutathmini tena maisha yake, kupima [[maono]] yake na kuweka maazimio ya kufaa, bila ya kusahau kwamba [[uhai]] wake ni [[fumbo]], kwa kuwa unamtegemea Mungu.
 
==Tazama pia==
* [[Mtu wa kwanza alitoka wapi]]

Urambazaji