Uraibu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d jamii
d Masahihisho aliyefanya Airelle (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 17: Mstari 17:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[jamii:Maradhi ya ubongo‎]]
[[jamii:saikolojia]]
[[jamii:magonjwa]]
[[Jamii:Maadili]]
[[Jamii:Maadili]]

Toleo la sasa la 19:11, 6 Juni 2020

Kituo cha huduma cha chama cha walevi wanaosaidiana kuacha uraibu wa vileo.

Uraibu (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: addiction) ni hali inayopatikana wakati roho au mwili unataka mno kuwa na hisia fulani kiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.

Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana

Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani. Katika jamii inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa dawa yaani dutu zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu afya, hali yake katika jamii na hata kuvunja sheria. Hapo ni hasa dawa za kulevya zinazojulikana kuwa zinaunda uraibu.

Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho inayofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendo mengine.

Tovuti za nje[hariri | hariri chanzo]