Falsafa ya dini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Religious syms.svg|thumb|[[Alama]] za dini mbalimbali.]]
'''Falsafa ya dini''' ni [[utafiti]] wa [[Falsafa|kifalsafa]] kuhusu mada na mawazo makuu ya [[dini]] mbalimbali.<ref name="SEP">{{Cite book |edition = Winter 2014 |title = Philosophy of Religion |url = http://plato.stanford.edu/archives/win2014/entries/philosophy-religion/ |date = 1 January 2014 |first = Charles |last = Taliaferro |editor-first = Edward N. |editor-last = Zalta}}</ref>
'''Falsafa ya dini''' ni [[utafiti]] wa [[Falsafa|kifalsafa]] kuhusu mada na mawazo makuu ya [[dini]] mbalimbali<ref name="SEP">{{Cite book |edition = Winter 2014 |title = Philosophy of Religion |url = http://plato.stanford.edu/archives/win2014/entries/philosophy-religion/ |date = 1 January 2014 |first = Charles |last = Taliaferro |editor-first = Edward N. |editor-last = Zalta}}</ref> na jinsi yanavyoathiri mwenendo wa watu binafsi na katika [[jamii]].


Majadiliano kuhusu mambo hayo yalianza zamani na kujitokeza katika [[maandishi]] ya kwanza ya [[wanafalsafa]] wa [[Ugiriki wa Kale]].
Majadiliano kuhusu mambo hayo yalianza zamani na kujitokeza katika [[maandishi]] ya kwanza ya [[wanafalsafa]] wa [[Ugiriki wa Kale]].

Pitio la 13:05, 5 Juni 2020

Alama za dini mbalimbali.

Falsafa ya dini ni utafiti wa kifalsafa kuhusu mada na mawazo makuu ya dini mbalimbali[1] na jinsi yanavyoathiri mwenendo wa watu binafsi na katika jamii.

Majadiliano kuhusu mambo hayo yalianza zamani na kujitokeza katika maandishi ya kwanza ya wanafalsafa wa Ugiriki wa Kale.

Utafiti huo unaenea kwa matawi mengine ya falsafa kama vile metafizikia, epistemolojia na maadili.[2]

Falsafa ya dini ni tofauti na falsafa ya kidini kwa kuwa inajadili masuala yanayohusu umbile la dini kwa jumla, si kuchunguza masuala yanayotokezwa na imani ya dini fulani. Hivyo inaweza kuchangiwa na watu wa dini yoyote na vilevile watu wasio na dini.[3]

Tanbihi

  1. Taliaferro, Charles (1 January 2014). Zalta, Edward N., ed. Philosophy of Religion (Winter 2014 ed.). 
  2. Stanford Encyclopedia of Philosophy, "Philosophy of Religion."
  3. Evans, C. Stephen (1985). Philosophy of Religion: Thinking about Faith. InterVarsity Press. pp. 16–17. ISBN 978-0-87784-343-6. Philosophy of religion is not so much religious thinking as it is thinking about religion, a thinking which can be carried on by both religious and nonreligious persons. 

Marejeo

Marejeo mengine

  • Al-Nawawi Forty Hadiths and Commentary, by Arabic Virtual Translation Center; (2010) ISBN 978-1-4563-6735-0 (Philosophy of Religion from an Islamic Point of View)
  • The London Philosophy Study Guide offers many suggestions on what to read, depending on the student's familiarity with the subject: Philosophy of Religion
  • William L. Rowe, William J. Wainwright, Philosophy of Religion: Selected Readings, Third Ed. (Florida: Harcourt Brace & Company, 1998)
  • Religious Studies is an international journal for the philosophy of religion. It is available online and in print and has a fully searchable online archive dating back to Issue 1 in 1965. It currently publishes four issues per year.
  • Shokhin, Vladimir K., "The Pioneering Appearances of Philosophy of Religion in Europe: François Para du Phanjas on the Nature of Religion", Open Theology 2015, 1: 97-106. Open Access: http://www.degruyter.com/view/j/opth.2014.1.issue-1/opth-2014-0008/opth-2014-0008.xml?format=INT
  • Yandell, Keith E. PHILOSOPHY OF RELIGION A contemporary introduction, Routledge, 2002.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.