Chuki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.224.9 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Hate zh.svg|upright=0.7|thumb|Chuki kwa [[Kichina]].]]
[[File:Hate zh.svg|upright=0.7|thumb|[[Neno]] ''chuki'' kwa [[Kichina]].]]
[[File:Duluth-lynching-postcard.jpg|thumb|upright=1.4|[[Mauaji ya Duluth]], [[15 Juni]] [[1920]].]]
[[File:Duluth-lynching-postcard.jpg|thumb|upright=1.4|[[Mauaji ya Duluth]], [[15 Juni]] [[1920]].]]
'''Chuki''', kinyume cha [[pendo]], ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani.
'''Chuki''', kinyume cha [[pendo]], ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani.


Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu.
Mfano watu wema hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu. Chuki hiyo ni nzuri, kwa kuwa inajenga [[jamii]].


Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya jinsia, ya [[dini]], ya [[asili]] n.k.
Lakini mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya [[jinsia]], ya [[dini]], ya [[asili]] n.k.


Inaweza ikatokana na [[kijicho]] na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile [[mauaji ya kimbari]].
Inaweza ikatokana na [[kijicho]] na kuishia katika [[uuaji|mauaji]] hata ya halaiki, kama vile [[mauaji ya kimbari]]. Hapo inaonekana wazi kuwa mbaya, hata pengine ya [[Shetani|kishetani]].


==Marejeo==
==Marejeo==

Toleo la sasa la 12:57, 2 Juni 2020

Neno chuki kwa Kichina.
Mauaji ya Duluth, 15 Juni 1920.

Chuki, kinyume cha pendo, ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani.

Mfano watu wema hawapendi uovu, kwa hiyo wana chuki na uovu. Chuki hiyo ni nzuri, kwa kuwa inajenga jamii.

Lakini mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya uchumi, ya siasa, ya jinsia, ya dini, ya asili n.k.

Inaweza ikatokana na kijicho na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile mauaji ya kimbari. Hapo inaonekana wazi kuwa mbaya, hata pengine ya kishetani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • The Psychology of Hate by Robert Sternberg (Ed.)
  • Hatred: The Psychological Descent into Violence by Willard Gaylin
  • Why We Hate by Jack Levin
  • The Psychology of Good and Evil: Why Children, Adults, and Groups Help and Harm Others by Ervin Staub
  • Prisoners of Hate: The Cognitive Basis of Anger, Hostility, and Violence by Aaron T. Beck
  • Becoming Evil: How Ordinary People Commit Genocide and Mass Killing by James Waller
  • Ethnolinguistics and Cultural Concepts: truth, love, hate & war, by James W. Underhill, Cambridge: Cambridge University Press.
  • "Hatred as an Attitude", by Thomas Brudholm (in Philosophical Papers 39, 2010).
  • The Globalisation of Hate, (eds.) Jennifer Schweppe and Mark Walters, Oxford: Oxford University Press.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: