Chuki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 5: Mstari 5:
Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu.
Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu.


Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya jinsia, ya [[dini]], ya [[asili]] mapenzi
Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya jinsia, ya [[dini]], ya mapenzi n.k


n.k.
n.k.

Pitio la 12:10, 2 Juni 2020

Chuki kwa Kichina.
Mauaji ya Duluth, 15 Juni 1920.

Chuki, kinyume cha pendo, ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani.

Mfano watu wema wengi hawapendi uovu, kwa hiyo wana chuki na uovu.

Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya uchumi, ya siasa, ya jinsia, ya dini, ya mapenzi n.k

n.k.

Inaweza ikatokana na kijicho na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile mauaji ya kimbari.

Marejeo

  • The Psychology of Hate by Robert Sternberg (Ed.)
  • Hatred: The Psychological Descent into Violence by Willard Gaylin
  • Why We Hate by Jack Levin
  • The Psychology of Good and Evil: Why Children, Adults, and Groups Help and Harm Others by Ervin Staub
  • Prisoners of Hate: The Cognitive Basis of Anger, Hostility, and Violence by Aaron T. Beck
  • Becoming Evil: How Ordinary People Commit Genocide and Mass Killing by James Waller
  • Ethnolinguistics and Cultural Concepts: truth, love, hate & war, by James W. Underhill, Cambridge: Cambridge University Press.
  • "Hatred as an Attitude", by Thomas Brudholm (in Philosophical Papers 39, 2010).
  • The Globalisation of Hate, (eds.) Jennifer Schweppe and Mark Walters, Oxford: Oxford University Press.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: