Hifadhi ya Taifa ya Aberdare : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
+pict
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Hike up the Aberdares.jpg|thumb|Hifadhi ya Taifa ya Aberdare]]
'''Hifadhi ya Taifa ya Aberdare''' ina [[latitudo]] ya [[mita]] 1829 hadi 4001 juu ya [[usawa wa bahari]] na iko katika ardhi kati ya [[kusini]]-[[magharibi]] kwa [[Mlima Kenya]] ([[Kaunti ya Nyandarua]] na [[Kaunti ya Nyeri]]).

Pitio la 18:45, 22 Mei 2020

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati ya kusini-magharibi kwa Mlima Kenya (Kaunti ya Nyandarua na Kaunti ya Nyeri).

Ilianzishwa rasmi mnamo Mei 1950 kama hifadhi ya misitu ya nchi. Hifadhi ina hewa safi iliyo tulivu na yenye mazingira murua na mvua kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.