Westlands (Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+pict
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Waiyaki Way Westlands.jpg|thumb|Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands [[Nairobi]]]]
[[Image:Waiyaki Way Westlands.jpg|thumb|Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands [[Nairobi]]]]
[[File:Early morning traffic at Westlands stage, Nairobi.jpg|thumb|Westlands]]
[[File:Early morning traffic at Westlands stage, Nairobi.jpg|thumb|Westlands]]
'''Westlands''' ni mtaa wa jiji la [[Nairobi]] (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha kibiashara kando la [[Nairobi mjini]] penyewe. Westlands iko kando la barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya [[tarafa]] nane za [[Mkoa wa Nairobi]].
'''Westlands''' ni [[mtaa]] wa [[jiji]] la [[Nairobi]] ([[Kenya]]) ulioendelea kuwa [[kitovu]] cha [[biashara]] kando ya [[Nairobi mjini]]. Westlands iko kando ya [[barabara kuu]] ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya [[tarafa]] nane za [[Kaunti ya Nairobi]].


Hadi miaka ya 1980 Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya nyumba za watu na maduka machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya [[Parklands (Nairobi)|Parklands]]. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980 majengo makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za ofisi. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kirahisi kutoka pande za kaskazini na magharibi za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa magari mjini penyewe pia kwa sababu hali ya usalama barabarani ni afadhali.
Hadi [[miaka ya 1980]] Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya [[nyumba]] za [[watu]] na [[Duka|maduka]] machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya [[Parklands (Nairobi)|Parklands]]. Katika [[nusu]] ya pili ya miaka ya 1980 [[Jengo|majengo]] makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za [[ofisi]]. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kwa urahisi kutoka pande za [[kaskazini]] na [[magharibi]] za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa [[magari]] mjini penyewe; pia kwa sababu hali ya [[usalama barabarani]] ni afadhali.


== Tarafa ya Westlands ==
== Tarafa ya Westlands ==
Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo penye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.
Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo yenye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.


Pamoja na kitovu cha kibiashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zuifuatazo:
Pamoja na kitovu cha biashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zifuatazo:
*[[Parklands (Nairobi)|Parklands]]
*[[Parklands (Nairobi)|Parklands]]
*Kitisuru
*Kitisuru
Mstari 15: Mstari 15:
*[[Kilimani]]
*[[Kilimani]]
*[[Lavington (Nairobi)|Lavington]]
*[[Lavington (Nairobi)|Lavington]]
{{mbegu-jio-KE}}

[[Jamii:Mitaa ya Nairobi]]
[[Jamii:Mitaa ya Nairobi]]

Toleo la sasa la 08:23, 22 Mei 2020

Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands Nairobi
Westlands

Westlands ni mtaa wa jiji la Nairobi (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha biashara kando ya Nairobi mjini. Westlands iko kando ya barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya tarafa nane za Kaunti ya Nairobi.

Hadi miaka ya 1980 Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya nyumba za watu na maduka machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya Parklands. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980 majengo makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za ofisi. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kwa urahisi kutoka pande za kaskazini na magharibi za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa magari mjini penyewe; pia kwa sababu hali ya usalama barabarani ni afadhali.

Tarafa ya Westlands[hariri | hariri chanzo]

Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo yenye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.

Pamoja na kitovu cha biashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zifuatazo: