Westlands (Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7193729 (translate me)
+pict
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Waiyaki Way Westlands.jpg|thumb|300px|Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands [[Nairobi]]]]
[[Image:Waiyaki Way Westlands.jpg|thumb|Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands [[Nairobi]]]]
[[File:Early morning traffic at Westlands stage, Nairobi.jpg|thumb|Westlands]]
'''Westlands''' ni mtaa wa jiji la [[Nairobi]] (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha kibiashara kando la [[Nairobi mjini]] penyewe. Westlands iko kando la barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya [[tarafa]] nane za [[Mkoa wa Nairobi]].
'''Westlands''' ni mtaa wa jiji la [[Nairobi]] (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha kibiashara kando la [[Nairobi mjini]] penyewe. Westlands iko kando la barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya [[tarafa]] nane za [[Mkoa wa Nairobi]].



Pitio la 06:09, 22 Mei 2020

Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands Nairobi
Westlands

Westlands ni mtaa wa jiji la Nairobi (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha kibiashara kando la Nairobi mjini penyewe. Westlands iko kando la barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya tarafa nane za Mkoa wa Nairobi.

Hadi miaka ya 1980 Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya nyumba za watu na maduka machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya Parklands. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980 majengo makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za ofisi. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kirahisi kutoka pande za kaskazini na magharibi za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa magari mjini penyewe pia kwa sababu hali ya usalama barabarani ni afadhali.

Tarafa ya Westlands

Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo penye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.

Pamoja na kitovu cha kibiashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zuifuatazo: