Jibuti : Tofauti kati ya masahihisho
d Masahihisho aliyefanya Somalisweetcrudeoil (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni Tag: Rollback |
No edit summary |
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{| border="1" cellpadding="2" cellspacing="0" align="right" width="330px" style="margin-left:15px; border-collapse:collapse; border-color:#f2f2f4" |
{{Infobox_Country |
|native_name = '''جمهورية جيبوتي
''Ǧumhūriyyah Ǧībūtī
République de Djibouti''''' |
|+'''Jamhuri ya Jibuti''' (Kiswahili)
'''Jamhuuriyadda Jabuuti''' (Kisomali)
'''Gabuutih Ummuuno''' (Kiafar) |
|conventional_long_name = Jamhuri ya Jibuti |
|common_name = Jibuti |
| align="center" colspan="2" | |
|image_flag = Flag of Djibouti.svg |
{| border="0" cellpadding="2" cellspacing="0" |
|image_coat =Emblem of Djibouti.svg |
| align="center" width="50%" | [[Picha:Flag of Djibouti.svg|165px|Bendera ya Jibuti]] |
|symbol_type=Nembo |
| align="center" width="50%" | [[Picha:Coat of arms of Djibouti.svg|165px|Nembo ya Jibuti]] |
|image_map = LocationDjibouti.png |
|national_motto = Jibuti tumeichagua |
| align="center" | ([[Bendera ya Jibuti]]) |
|official_languages = [[Kiarabu]] na [[Kifaransa]] |
| align="center" | ([[Nembo ya Jibuti]]) |
|latd=11 |latm=36 |latNS=N |longd=43 |longm=10 |longEW=E |
|leader_title2 = [[Prime Minister of Djibouti|Prime Minister]] |
|leader_names = [[Ismaïl Omar Guelleh]] |
| [[Lugha rasmi]] || [[Kifaransa]] |
|leader_name2 = [[Abdoulkader Kamil Mohamed]] |
|area_rank = ya 150 |
| [[Mji Mkuu]] || [[Jibuti (mji)|Jibuti]] |
|area_magnitude = 1 E10 |
|area= 23,200 |
| Mji Mkubwa || [[Jibuti (mji)|Jibuti]] |
|percent_water = 0.09% (20 km² / 7.7 mi²) |
| [[Serikali]] || [[Jamhuri]] |
|population_estimate = 810,179 |
|population_estimate_rank = ya 168 |
| [[Rais]] || [[Ismaïl Omar Guelleh]] |
|population_estimate_year = Julai 2014 |
|population_census = 460,700 |
| [[Eneo]] || [[km²]] 23,200 |
|population_census_year = 2000 |
|population_density = 37.2 |
| [[Idadi ya wakazi]] || 921,804 (2018) |
|population_density_rank = ya 154 |
| [[Wakazi kwa km²]] || 39.7 |
|Ethnic_groups = |
|Ethnic_groups_year = |
| [[Uchumi]] nominal || Bilioni $2.187 |
|GDP_PPP_rank = 205 |
| [[Uchumi]] kwa kipimo cha umma || $2,084 |
|GDP_PPP_per_capita = $1,878 |
| [[Pesa]] || [[CFA frank (XFA)]] (Frank ya Afrika ya Kati) |
|GDP_PPP_per_capita_rank = 150th |
|sovereignty_type = [[Uhuru]] |
| Kaulimbiu || "Inkittiino, Qeedala, Wagar" (Umoja, Usawa, Amani) |
|sovereignty_note = Kutoka [[Ufaransa]] |
|established_events = Tarehe |
| [[Wimbo wa Taifa]] || ''Jibuti''
[[File:The Djiboutian anthem.ogg]] |
|established_dates = 27 Juni [[1977]] |
|HDI = 0.495 |
| colspan="2" align="center"| [[Picha:Djibouti (orthographic projection).svg|250px|Jibuti katika Afrika]] |
|HDI_rank = 150th |
|HDI_year = 2003 |
| Saa za Eneo || UTC +3 (Wakati wa Afrika Mashariki) |
|HDI_category = low |
|currency = [[Franc ya Jibuti|Franc]] |
| Mtandao || .dj |
|currency_code = DJF |
|country_code = |
| Kodi ya Simu || +253 |
|time_zone = |
|utc_offset = +3 |
|time_zone_DST = +3 |
|utc_offset_DST = |
|cctld = [[.dj]] |
|calling_code = 253 |
|footnotes = |
'''Jibuti''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Djibouti''', kwa [[Kiarabu]]: '''جيبوتي''') ni nchi ndogo ya [[Afrika ya Mashariki]] kwenye [[Pembe la Afrika]]. |
'''Jibuti''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Djibouti''', kwa [[Kiarabu]]: '''جيبوتي''') ni nchi ndogo ya [[Afrika ya Mashariki]] kwenye [[Pembe la Afrika]]. |
Pitio la 12:41, 21 Mei 2020
Lugha rasmi | Kifaransa | ||||
Mji Mkuu | Jibuti | ||||
Mji Mkubwa | Jibuti | ||||
Serikali | Jamhuri | ||||
Rais | Ismaïl Omar Guelleh | ||||
Eneo | km² 23,200 | ||||
Idadi ya wakazi | 921,804 (2018) | ||||
Wakazi kwa km² | 39.7 | ||||
Uchumi nominal | Bilioni $2.187 | ||||
Uchumi kwa kipimo cha umma | $2,084 | ||||
Pesa | CFA frank (XFA) (Frank ya Afrika ya Kati) | ||||
Kaulimbiu | "Inkittiino, Qeedala, Wagar" (Umoja, Usawa, Amani) | ||||
Wimbo wa Taifa | Jibuti | ||||
Saa za Eneo | UTC +3 (Wakati wa Afrika Mashariki) | ||||
Mtandao | .dj | ||||
Kodi ya Simu | +253 |
Jibuti (kwa Kifaransa: Djibouti, kwa Kiarabu: جيبوتي) ni nchi ndogo ya Afrika ya Mashariki kwenye Pembe la Afrika.
Imepakana na Eritrea, Ethiopia na Somalia upande wa bara. Kuna pwani ya Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden. Ng'ambo ya bahari iko nchi ya Yemen katika umbali wa km 20 pekee.
Jina la nchi linatokana na lile la mji mkuu, Jibuti.
Historia
Nchi ilikuwa koloni la Ufaransa kwa jina la Somalia ya Kifaransa, halafu (1967) Eneo la Kifaransa la Waafar na la Waisa, kutokana na majina ya makabila mawili makubwa zaidi ya eneo hilo.
Sababu ya kuanzishwa kwa koloni ilikuwa nia ya Ufaransa ya kuwa na bandari ya mji wa Jibuti karibu na Bab el Mandeb inayotawala mawasiliano kati ya Bahari Hindi na Bahari ya Shamu kuelekea Mfereji wa Suez.
Nchi ilipata uhuru tarehe 27 Juni 1977.
Hadi leo umuhimu na uchumi wake unategemea bandari, ambapo zinapitia asilimia 95 za bidhaa zinazoingizwa Ethiopia. Nchi hiyo imeunganishwa na Jibuti kwa reli, moja ya zamani, na nyingine mpya iliyokamilika mwaka 2016.
Watu
Siku hizi wakazi wengi (60%) ni Wasomali, hasa wa kabila la Waisa, halafu Waafar (35%). Asilimia 5 zilizobaki ni Waarabu, Waethiopia na Wazungu (hasa Wafaransa na Waitalia).
Lugha rasmi ni Kifaransa na Kiarabu. Kisomali ni Kiafar ni lugha za taifa.
Upande wa dini, Uislamu unafuatwa na 94% za wakazi na ndio dini rasmi pekee. Asilimia 6 wanafuata Ukristo katika madhehebu mbalimbali, hasa Waorthodoksi wa Mashariki kutoka Ethiopia (3.2%), halafu Wakatoliki (1.4%) na Waprotestanti (chini ya 1%).
Tazama pia
- Orodha ya nchi kufuatana na wakazi
- Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu
- Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu
- Orodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa
- Demografia ya Afrika
Viungo vya nje
- Serikali
- "Site Officiel de la République de Djibouti" [Official website of the Republic of Djibouti] (kwa Kifaransa). Government of Djibouti.
- "Office National de Tourisme de Djibouti". National Official of Tourism of Djibouti.
- Taarifa za jumla
- Djibouti entry at The World Factbook
- Djibouti profile from the BBC News.
- Jibuti katika Open Directory Project
- Mengineyo
Nchi za Afrika | |
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jibuti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |