Brazzaville : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+pict
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:


}}
}}
[[Picha:Centre ville brazza.jpg|thumb|left|upright|Brazzaville]]
[[Picha:Centre ville brazza.jpg|thumb|left|upright|Brazzaville.]]
[[Picha:Kinshasa & Brazzaville - ISS007-E-6305 lrg.jpg|thumb|right|[[Kinshasa]], Brazzaville na [[mto Niger]]]]
[[Picha:Kinshasa & Brazzaville - ISS007-E-6305 lrg.jpg|thumb|right|[[Kinshasa]], Brazzaville na [[mto Kongo]].]]
'''Brazzaville''' ni [[mji mkuu]] wa [[Jamhuri ya Kongo]]. Ina wakazi 1,115,773 (mwaka 2005). Iko kando la [[mto Kongo]] ikitazama mji wa [[Kinshasa]] ng'ambo ya mto.
'''Brazzaville''' ni [[mji mkuu]] wa [[Jamhuri ya Kongo]]. Una wakazi 2,308,000 ([[mwaka]] [[2019]]) ambao ni sawa na 40[[%]] za wananchi wote.


Uko kando ya [[mto Kongo]] ukitazamana na [[mji]] wa [[Kinshasa]] ng'ambo ya [[mto]].
Jina la Brazzaville limetokana na [[Ufaransa|Mfaransa]] [[Pierre Brazza|Pierre Savorgnan de Brazza]] alinunua hapa ardhi kutoka kwa [[chifu]] [[Makoko]] na kujenga kituo kilichokua kuwa mji baadaye.


Brazzaville una [[bandari]] kwenye mto Kongo na mwanzo wa [[reli]] kuelekea [[pwani]].
Tangu mwaka [[1898]] Brazzaville ilikuwa mji mkuu wa [[Kongo ya Kifaransa]] ikawa na na wakazi 5,000 mnamo [[1900]] walioongezeka kuwa [[lakhi]] moja mwaka [[1950]].


==Historia==
Mwaka [[1940]] Brazzaville ilikuwa kwa muda mfupi mji mkuu wa [[Ufaransa Huru]] yaani [[Ufaransa]] usio chini ya [[Ujerumani]] hadi kuhamia kwa serikali kwenda [[Algier]].
[[Jina]] la Brazzaville limetokana na [[Ufaransa|Mfaransa]] [[Pierre Brazza|Pierre Savorgnan de Brazza]] aliyenunua hapa ardhi kutoka kwa [[chifu]] [[Makoko]] na kujenga kituo kilichokua na kuwa mji baadaye.


Tangu mwaka [[1898]] Brazzaville ulikuwa mji mkuu wa [[Kongo ya Kifaransa]] ukawa na wakazi 5,000 mnamo [[1900]] walioongezeka kuwa [[lakhi]] moja mwaka [[1950]].
Brazzaville ina [[bandari]] ya mtoni wa Kongo na mwanzo wa [[reli]] kuelekea pwani.

Mwaka [[1940]] Brazzaville ulikuwa kwa muda mfupi mji mkuu wa [[Ufaransa Huru]] yaani [[Ufaransa]] usio chini ya [[Ujerumani]] hadi kuhamia kwa [[serikali]] hiyo kwenda [[Algier]].


== Vitabu ==
== Vitabu ==
Mstari 29: Mstari 32:


[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Miji ya Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Miji ya Jamhuri ya Kongo]]
[[Jamii:Brazzaville| ]]
[[Jamii:Brazzaville| ]]

Pitio la 14:16, 18 Mei 2020


Jiji la Brazzaville
Nchi Jamhuri ya Kongo
Brazzaville.
Kinshasa, Brazzaville na mto Kongo.

Brazzaville ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo. Una wakazi 2,308,000 (mwaka 2019) ambao ni sawa na 40% za wananchi wote.

Uko kando ya mto Kongo ukitazamana na mji wa Kinshasa ng'ambo ya mto.

Brazzaville una bandari kwenye mto Kongo na mwanzo wa reli kuelekea pwani.

Historia

Jina la Brazzaville limetokana na Mfaransa Pierre Savorgnan de Brazza aliyenunua hapa ardhi kutoka kwa chifu Makoko na kujenga kituo kilichokua na kuwa mji baadaye.

Tangu mwaka 1898 Brazzaville ulikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kifaransa ukawa na wakazi 5,000 mnamo 1900 walioongezeka kuwa lakhi moja mwaka 1950.

Mwaka 1940 Brazzaville ulikuwa kwa muda mfupi mji mkuu wa Ufaransa Huru yaani Ufaransa usio chini ya Ujerumani hadi kuhamia kwa serikali hiyo kwenda Algier.

Vitabu