Vichekesho : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
'''Vichekesho''' ni maigizo mafupi yenye lengo la kufikisha ujumbe kwa njia ya kufurahisha au kuchekesha hadhira husika. Vichekesho huundwa kwa mpangilio wa maneno ulio na utendekaji ambao hauna kina kuhusu kisa kinachooneshwa - huonesha kisa au jambo bila kulichambua kwa kina. |

||
Vichekesho hutumia wahusika ambao hutumia lugha nyepesi ya picha na tamathali ambazo watazamaji wana uwezo wa kuzitambua. Vichekesho huigizwa kwenye runinga, redioni, shuleni, na kwenye sherehe mbalimbali |

== Viungo vya Nje == |
|||
Bweichum holySmile Comedian |
|||
* [http://www.alldocumentaries.org/category/comedy/ Comedy Documentary Films] at [http://www.alldocumentaries.org/ All Documentaries] |
* [http://www.alldocumentaries.org/category/comedy/ Comedy Documentary Films] at [http://www.alldocumentaries.org/ All Documentaries] |
||
* {{dmoz|Arts/Performing_Arts/Comedy}} |
* {{dmoz|Arts/Performing_Arts/Comedy}} |
Pitio la 17:02, 14 Mei 2020
Vichekesho ni maigizo mafupi yenye lengo la kufikisha ujumbe kwa njia ya kufurahisha au kuchekesha hadhira husika. Vichekesho huundwa kwa mpangilio wa maneno ulio na utendekaji ambao hauna kina kuhusu kisa kinachooneshwa - huonesha kisa au jambo bila kulichambua kwa kina.
Vichekesho hutumia wahusika ambao hutumia lugha nyepesi ya picha na tamathali ambazo watazamaji wana uwezo wa kuzitambua. Vichekesho huigizwa kwenye runinga, redioni, shuleni, na kwenye sherehe mbalimbali
Bweichum holySmile Comedian
- Comedy Documentary Films at All Documentaries
- Vichekesho katika Open Directory Project
- A Vocabulary for Comedy from a professor at Dallas Baptist University
- 6 Elements of Comedy by comedian Bobby Schimmel
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vichekesho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |