Diokletian : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kaisari --> Kaizari
Mstari 54: Mstari 54:
[[sr:Диоклецијан]]
[[sr:Диоклецијан]]
[[sv:Diocletianus]]
[[sv:Diocletianus]]
[[th:ไดโอคลีเชียน]]
[[tr:Diocletianus]]
[[tr:Diocletianus]]
[[zh:戴克里先]]
[[zh:戴克里先]]

Pitio la 10:14, 10 Februari 2008

Faili:Diocletian.jpg
Kaizari Diokletian

Gaius Aurelius Valerius Diocletianus (takriban 245 – takriban 312) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Novemba, 284 hadi 1 Mei, 305 alipojiuzulu. Alimfuata Numerian. Kwanza alitawala dola zima, lakini 1 Machi, 286 alimteua Maximian kutawala sehemu za Magharibi.