Hussein ibn Ali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Msikiti wa Kaburi la Imamu Hussein mjini Karbala Picha:Brooklyn Museum - Battle of Karbala - Abbas...'
 
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:ImamHusaynMosqueKarbalaIraqPre2006.JPG|thumb|300px|Msikiti wa Kaburi la Imamu Hussein mjini Karbala]]
[[File:ImamHusaynMosqueKarbalaIraqPre2006.JPG|thumb|300px|Msikiti wa Kaburi la Imamu Hussein mjini Karbala.]]
[[Picha:Brooklyn Museum - Battle of Karbala - Abbas Al-Musavi - overall.jpg|300px|thumb|Taswira ya Kiajemi inayomwonyesha Hussein katika mapigano ya Karbala]]
[[Picha:Brooklyn Museum - Battle of Karbala - Abbas Al-Musavi - overall.jpg|300px|thumb|Taswira ya Kiajemi inayomwonyesha Hussein katika mapigano ya Karbala.]]
'''Hussein ibn Ali'''<ref>Jina lake linaandikwa pia Husayn, Husain, Hussain au Hossein kwa herufi za Kilatini</ref> (ar. '''حسين بن علي'''‎
'''Hussein ibn Ali'''<ref>[[Jina]] lake linaandikwa pia Husayn, Husain, Hussain au Hossein kwa [[herufi]] za [[Kilatini]]</ref> (kwa [[Kiarabu]]: '''حسين بن علي'''‎; 11 au [[13 Januari]] [[626]] [[BK]] – [[10 Oktoba]] [[680]] BK, sawa na 3 [[Shaabani]] 4 [[BH]] - 10 [[Muharram]] 61 BH; 3 شعبان 4 هـ - 10 محرم 61 هـ) alikuwa [[mjukuu]] wa [[Muhammad|Mtume Muhammad]] akitazamwa kama [[imamu wa Washia|imamu wa kwanza wa Washia]]. Alizaliwa [[Mji|mjini]] [[Makka]], [[baba]] yake alikuwa [[Ali ibn Abi Talib]] ([[khalifa]] wa nne na [[mama]] yake [[Fatimah|Fatimah Zahra]] [[binti]] [[Muhammad]]. [[Kaka]] yake alikuwa [[Hasan ibn Ali]] [[imamu]] wa pili wa [[Washia]].
, *11 au [[13 Januari]] [[626]] [[BK]] – [[10 Oktoba]] [[680]] BK, au 3 [[Shaabani]] 4 [[BH]] - 10 [[Muharram]] 61 BH) (3 شعبان 4 هـ - 10 محرم 61 هـ ) alikuwa mjukuu wa [[Muhammad|Mtume Muhammad]] akitazamiwa kama [[imamu wa Washia|imamu wa kwanza wa Washia]]. Alizaliwa mjini Makka, babake alikuwa [[Ali ibn Abi Talib]] ([[khalifa]] wa nne na mamake [[Fatimah|Fatimah Zahra]] binti wa [[Muhammad]]. Kakaye alikuwa [[Hasan ibn Ali]] imamu wa pili wa Washia.


Hussein ibn Ali ni mtu muhimu sana kati ya Washia wanaomwangalia kama mtu mtakatifu kutokana na uhusiano wake wa karibu na mtume Muhammad na kama kielelezo kwa ushujaa wake katika [[mapigano ya Karbala]]. Washia wanamkumbuka na kukumsifu kwa upinzani wake dhidi ya [[Yazid I]] aliyekuwa [[Wamuawiya|khalifa wa Wamuawiya]]. Aliuawa katika [[Mapigano ya Karbala]] pamoja na wengi wa familia yake kwenye siku ya [[Ashura]]. Hivyo anatazamiwa kama mfia dini hasa kati ya Washia na kukumbukwa kwenye sherehe za mwezi Muharram, hasa siku za [[Tasua]] na [[Ashura]].<ref>Nakash, Yitzhak (1 January 1993). "An Attempt To Trace the Origin of the Rituals of Āshurā¸". Die Welt des Islams. 33 (2): 161–181. doi:10.1163/157006093X00063.</ref>
Aliuawa katika [[Mapigano ya Karbala]] pamoja na wengi wa [[familia]] yake kwenye [[siku]] ya [[Ashura]]. Hivyo anatazamwa kama [[mfiadini]], hasa kati ya Washia, na kukumbukwa kwenye [[sherehe]] za [[Mwezi (wakati)|mwezi]] Muharram, hasa siku za [[Tasua]] na [[Ashura]].<ref>Nakash, Yitzhak (1 January 1993). "An Attempt To Trace the Origin of the Rituals of Āshurā¸". Die Welt des Islams. 33 (2): 161–181. doi:10.1163/157006093X00063.</ref>

Hussein ibn Ali ni muhimu sana kati ya Washia wanaomwangalia kama mtu [[mtakatifu]] kutokana na uhusiano wake wa karibu na mtume Muhammad na kama kielelezo kwa [[ushujaa]] katika [[mapigano ya Karbala]]. Washia wanamkumbuka na kukumsifu kwa upinzani wake dhidi ya [[Yazid I]] aliyekuwa [[Wamuawiya|khalifa wa Wamuawiya]].


== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{reflist}}
{{reflist}}
{{mbegu-mtu}}


[[Category:Waliozaliwa 626]]
[[Category:Waliozaliwa 626]]
[[Category:Waliofariki 680]]
[[Category:Waliofariki 680]]
[[Category:Maimamu wa Washia]]
[[Category:Maimamu]]
[[Jamii:Washia]]
[[Category:Historia ya Uislamu]]
[[Category:Historia ya Uislamu]]

Toleo la sasa la 12:01, 25 Aprili 2020

Msikiti wa Kaburi la Imamu Hussein mjini Karbala.
Taswira ya Kiajemi inayomwonyesha Hussein katika mapigano ya Karbala.

Hussein ibn Ali[1] (kwa Kiarabu: حسين بن علي‎; 11 au 13 Januari 626 BK10 Oktoba 680 BK, sawa na 3 Shaabani 4 BH - 10 Muharram 61 BH; 3 شعبان 4 هـ - 10 محرم 61 هـ) alikuwa mjukuu wa Mtume Muhammad akitazamwa kama imamu wa kwanza wa Washia. Alizaliwa mjini Makka, baba yake alikuwa Ali ibn Abi Talib (khalifa wa nne na mama yake Fatimah Zahra binti Muhammad. Kaka yake alikuwa Hasan ibn Ali imamu wa pili wa Washia.

Aliuawa katika Mapigano ya Karbala pamoja na wengi wa familia yake kwenye siku ya Ashura. Hivyo anatazamwa kama mfiadini, hasa kati ya Washia, na kukumbukwa kwenye sherehe za mwezi Muharram, hasa siku za Tasua na Ashura.[2]

Hussein ibn Ali ni muhimu sana kati ya Washia wanaomwangalia kama mtu mtakatifu kutokana na uhusiano wake wa karibu na mtume Muhammad na kama kielelezo kwa ushujaa katika mapigano ya Karbala. Washia wanamkumbuka na kukumsifu kwa upinzani wake dhidi ya Yazid I aliyekuwa khalifa wa Wamuawiya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jina lake linaandikwa pia Husayn, Husain, Hussain au Hossein kwa herufi za Kilatini
  2. Nakash, Yitzhak (1 January 1993). "An Attempt To Trace the Origin of the Rituals of Āshurā¸". Die Welt des Islams. 33 (2): 161–181. doi:10.1163/157006093X00063.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hussein ibn Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.