Kiluba-Kasai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d kuondoa kiungo cha ramani using AWB
1991,lugha
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kiluba-Kasai''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] inayozungumzwa na [[Waluba-Kasai]]. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kiluba-Kasai iko katika kundi la L30.
'''Kiluba-Kasai''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] inayozungumzwa na [[Waluba-Kasai]]. Mwaka wa [[1991]] idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha]] za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kiluba-Kasai iko katika kundi la L30.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 14:23, 18 Aprili 2020

Kiluba-Kasai ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Kasai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Kasai imehesabiwa kuwa watu milioni sita na laki tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Kasai iko katika kundi la L30.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Kasai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.