Kipindi cha Pasaka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|thumb|right|300px|Kipindi cha Pasaka katika mwaka wa Kanisa kinaonyeshwa na rangi ya njano.]]
[[Picha:Mwaka wa kanisa.jpg|thumb|right|300px|Kipindi cha Pasaka katika mwaka wa Kanisa kinaonyeshwa na [[rangi]] ya [[njano]].]]
{{Mwaka wa liturujia}}
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Kipindi cha Pasaka''' ni kipindi maalumu cha [[mwaka wa Kanisa]] katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]].
[[Wayahudi]] wanaadhimisha [[Pasaka]] ya kale, [[ukumbusho]] wa kuvuka pakavu kati ya [[bahari]], kutoka [[utumwa]]ni kuelekea [[uhuru]]. [[Ukristo|Wakristo]] wanaadhimisha Pasaka mpya, ukumbusho wa [[sadaka]] ya [[Agano Jipya]] la milele ambayo pamoja na [[Yesu]] wanavuka toka [[dunia]] hii kwenda kwa [[Baba]]: [[Kristo]] asingefufuka imani hii ingekuwa bure.

Ni kwamba [[Wayahudi]] wanaadhimisha [[Pasaka]] ya kale, [[ukumbusho]] wa kuvuka pakavu kati ya [[bahari]], kutoka [[utumwa]]ni kuelekea [[uhuru]]. Kumbe [[Ukristo|Wakristo]] wanaadhimisha Pasaka mpya, ukumbusho wa [[sadaka]] ya [[Agano Jipya]] la [[milele]] ambayo pamoja na [[Yesu]] wanavuka toka [[dunia]] hii kwenda kwa [[Baba]]: [[Kristo]] asingefufuka [[imani]] hiyo ingekuwa bure.


Maelezo yafuatayo yanatokana na mpango wa [[Kanisa Katoliki]], lakini kwa kiasi kikubwa yanafaa pia kwa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Anglikana]].
Maelezo yafuatayo yanatokana na mpango wa [[Kanisa Katoliki]], lakini kwa kiasi kikubwa yanafaa pia kwa [[madhehebu]] mengine, kama vile [[Anglikana]].


==Adhimisho==
Wakati wa Pasaka hatusomi Agano la Kale kwa kuwa yaliyotabiriwa nalo yameshatimia katika Kristo. Badala yake tunasoma karibu mfululizo [[Matendo ya Mitume]] yanayoelekeza [[safari]] yote ya [[Kanisa]]. Masomo mengine, [[sala]] na nyimbo vinasema hasa juu ya Kristo kufufuka na kuwa nasi na juu ya [[paji]] la [[Roho Mtakatifu]] alilotupatia.
Kile cha Pasaka, kikiwa na [[siku]] [[hamsini]], ndicho kirefu zaidi kati ya vipindi vikuu vinne vya [[mwaka]] wa [[Kanisa]] (vingine vikiwa [[Majilio]], [[Kipindi cha Noeli|Noeli]] na [[Kwaresima]]).

Wakati wa Pasaka [[Agano la Kale]] halisomwi kwa kuwa yaliyotabiriwa nalo yameshatimia katika Kristo. Badala yake yanasomwa karibu mfululizo [[Matendo ya Mitume]] yanayoelekeza [[safari]] yote ya [[Kanisa]]. Masomo mengine, [[sala]] na [[nyimbo]] vinasema hasa juu ya Kristo kufufuka na kuwa na watu wake kwa namna mpya, pia juu ya [[paji]] la [[Roho Mtakatifu]] alilowapatia.


Katika [[maisha]] ya kawaida watu wanafanya [[sherehe]] mbalimbali, si za [[dini]] tu. [[Sikukuu]] yoyote inatokeza [[furaha]] ya kuishi: usipokuwa na mtazamo wa kuridhika na maisha, kumwaga [[pesa]] katika [[anasa]] hakuondoi [[huzuni]] ya kukata tamaa. Sikukuu yoyote ni [[adhimisho]] la pamoja: inatokana na watu kukubaliana katika kujali mambo fulanifulani au walau kuheshimiana; pia inajenga [[jamii]] kwa kurudisha furaha ya kuwa pamoja.
Katika [[maisha]] ya kawaida watu wanafanya [[sherehe]] mbalimbali, si za [[dini]] tu. [[Sikukuu]] yoyote inatokeza [[furaha]] ya kuishi: usipokuwa na mtazamo wa kuridhika na maisha, kumwaga [[pesa]] katika [[anasa]] hakuondoi [[huzuni]] ya kukata tamaa. Sikukuu yoyote ni [[adhimisho]] la pamoja: inatokana na watu kukubaliana katika kujali mambo fulanifulani au walau kuheshimiana; pia inajenga [[jamii]] kwa kurudisha furaha ya kuwa pamoja.


Kwa Wakristo sherehe kuu kuliko zote ni Pasaka: ndiyo sikukuu yenyewe ambayo inadumu siku hamsini mfululizo hadi [[Pentekoste]] na inaitwa Dominika kubwa. Kwa kweli Pasaka si sherehe mojawapo tu wala kipindi kimojawapo tu katika [[mwaka wa liturujia]], bali ndiyo kiini chake, kama vile Dominika (Pasaka ndogo ya kila wiki) ilivyo kiini cha [[juma]] zima. Ni adhimisho la [[uzima mpya]] na wa [[milele]] aliotushirikisha Kristo mfufuka kwa njia ya [[sakramenti]]: [[ubatizo]] na [[kipaimara]] kwa Wakristo wachanga, [[kitubio]] kwa waliobatizwa zamani, hasa [[ekaristi]] kwa wote; humo hatumkumbuki tu Yesu, bali tunakutana naye, hai tena mtukufu. Adhimisho hilo ni la pamoja kwa sababu tumekuwa [[moyo]] mmoja na [[roho]] moja katika Kristo kwa kumiminiwa Roho Mtakatifu. Kwa [[kumega mkate]] mmoja tunaimarisha [[ushirika]] wetu na kuwajibika kumtambua Yesu katika wale wote tunaokutana nao, hasa [[maskini]].
Kwa Wakristo sherehe kuu kuliko zote ni Pasaka: ndiyo sikukuu yenyewe ambayo inadumu siku hamsini mfululizo hadi [[Pentekoste]] na inaitwa Dominika kubwa. Kwa kweli Pasaka si sherehe mojawapo tu wala kipindi kimojawapo tu katika [[mwaka wa liturujia]], bali ndiyo [[kiini]] chake, kama vile Dominika (Pasaka ndogo ya kila wiki) ilivyo kiini cha [[juma]] zima. Ni adhimisho la [[uzima mpya]] na wa [[milele]] ambao Kristo mfufuka anaushirikisha kwa njia ya [[sakramenti]]: [[ubatizo]] na [[kipaimara]] kwa Wakristo wachanga, [[kitubio]] kwa waliobatizwa zamani, hasa [[ekaristi]] kwa wote; humo Yesu hakumbukwi tu, bali waaminu wanakutana naye, hai tena mtukufu. Adhimisho hilo ni la pamoja kwa sababu wamekuwa [[moyo]] mmoja na [[roho]] moja katika Kristo kwa kumiminiwa Roho Mtakatifu. Kwa [[kumega mkate]] mmoja wanaimarisha [[ushirika]] wao na kuwajibika kumtambua Yesu katika wale wote wanaokutana nao, hasa [[maskini]].


[[Mang’amuzi]] hayo ya imani yanatuchochea kuimba mfululizo, [[Aleluya]]! Bila ya [[shaka]] tunaimba tukiwa njiani kuelekea kwetu: hatujafikia pale tutakapoimba katika [[heri]] ya starehe ya milele. Tunaimba tusije tukalemewa na mzigo wetu wa maisha. [[Augustino wa Hippo]] anatuonya: “Imba anavyofanya [[msafiri]]. Imba lakini tembea, usahau [[uchovu]] wako kwa kuimba, lakini jihadhari na [[uvivu]]. Imba na tembea”. Aleluya inatokeza vizuri furaha na [[tumaini]] letu: ndiyo sababu tunaikariri sana. Pamoja na hayo, uhuru wetu unatudai tuushuhudie kwa matendo na hasa kwa kuwakomboa [[ndugu]] zetu wanaodhulumiwa.
[[Mang’amuzi]] hayo ya [[imani]] yanachochea kuimba mfululizo [[Aleluya]]! Bila [[shaka]] inaimbwa na watu wakiwa njiani kuelekea kwao: hawajafikia pale watakapoimba katika [[heri]] ya [[starehe]] ya milele. Wanaimba wasije wakalemewa na mzigo wa [[maisha]]. [[Augustino wa Hippo]] alionya: “Imba anavyofanya [[msafiri]]. Imba lakini tembea, usahau [[uchovu]] wako kwa kuimba, lakini jihadhari na [[uvivu]]. Imba na tembea”. Aleluya inatokeza vizuri furaha na [[tumaini]]: ndiyo sababu ikaririwa sana. Pamoja na hayo, uhuru wa Kikristo unawadai waamini wAUshuhudie kwa matendo na hasa kwa kuwakomboa [[ndugu]] zao wanaodhulumiwa.


Kristo amefufuka kweli na atatufufua sisi pia: tutaishi naye kwa Baba katika [[umoja]] wa Roho Mtakatifu. Hata sasa yu pamoja nasi (ndiyo maana ya [[mshumaa wa Pasaka]]). Tukiwa naye maisha yanatunogea, kwa kuwa yote yameinuliwa tena na kufanywa mapya. Tumekombolewa kutoka utumwa wa [[dhambi]] na [[mauti]], tumekuwa [[wana wa Mungu]] na kuishi kwa uhuru wa [[upendo]] tukiongozwa na Roho Mtakatifu. Kristo amekuwa [[Bwana]] na anaendelea kueneza ufalme wake. Hatuwezi kuogopa chochote tena kwa kuwa [[historia]] ni yake yeye aliye [[Alfa na Omega]].
Kristo amefufuka kweli na atawafufua wote pia: waamini wake wataishi naye kwa [[Baba]] katika [[umoja]] wa Roho Mtakatifu. Hata sasa yu pamoja nao (ndiyo maana ya [[mshumaa wa Pasaka]]). Wakiwa naye maisha yanawanogea, kwa kuwa yote yameinuliwa tena na kufanywa mapya. Wanaamini wamekombolewa kutoka utumwa wa [[dhambi]] na [[mauti]], wamekuwa [[wana wa Mungu]] na kuishi kwa uhuru wa [[upendo]] wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Kristo amekuwa [[Bwana]] na anaendelea kueneza ufalme wake. Hawawezi kuogopa chochote tena kwa kuwa [[historia]] ni yake yeye aliye [[Alfa na Omega]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 21: Mstari 26:
*[http://web.archive.org/web/20091027095634/http://geocities.com/hashanayobel/christwrit/liturdays.htm Writings on Easter, Eastertide and Lent liturgical days]
*[http://web.archive.org/web/20091027095634/http://geocities.com/hashanayobel/christwrit/liturdays.htm Writings on Easter, Eastertide and Lent liturgical days]
*[http://victorcauchi.fortunecity.com/laudslent/easter0.htm Liturgy of Hours of Eastertide]
*[http://victorcauchi.fortunecity.com/laudslent/easter0.htm Liturgy of Hours of Eastertide]
{{mbegu-Ukristo}}

[[Category:Liturujia]]
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Mwaka wa Kanisa]]
[[Category:Mwaka wa Kanisa]]

Pitio la 14:48, 12 Aprili 2020

Kipindi cha Pasaka katika mwaka wa Kanisa kinaonyeshwa na rangi ya njano.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki

Kipindi cha Pasaka ni kipindi maalumu cha mwaka wa Kanisa katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo.

Ni kwamba Wayahudi wanaadhimisha Pasaka ya kale, ukumbusho wa kuvuka pakavu kati ya bahari, kutoka utumwani kuelekea uhuru. Kumbe Wakristo wanaadhimisha Pasaka mpya, ukumbusho wa sadaka ya Agano Jipya la milele ambayo pamoja na Yesu wanavuka toka dunia hii kwenda kwa Baba: Kristo asingefufuka imani hiyo ingekuwa bure.

Maelezo yafuatayo yanatokana na mpango wa Kanisa Katoliki, lakini kwa kiasi kikubwa yanafaa pia kwa madhehebu mengine, kama vile Anglikana.

Adhimisho

Kile cha Pasaka, kikiwa na siku hamsini, ndicho kirefu zaidi kati ya vipindi vikuu vinne vya mwaka wa Kanisa (vingine vikiwa Majilio, Noeli na Kwaresima).

Wakati wa Pasaka Agano la Kale halisomwi kwa kuwa yaliyotabiriwa nalo yameshatimia katika Kristo. Badala yake yanasomwa karibu mfululizo Matendo ya Mitume yanayoelekeza safari yote ya Kanisa. Masomo mengine, sala na nyimbo vinasema hasa juu ya Kristo kufufuka na kuwa na watu wake kwa namna mpya, pia juu ya paji la Roho Mtakatifu alilowapatia.

Katika maisha ya kawaida watu wanafanya sherehe mbalimbali, si za dini tu. Sikukuu yoyote inatokeza furaha ya kuishi: usipokuwa na mtazamo wa kuridhika na maisha, kumwaga pesa katika anasa hakuondoi huzuni ya kukata tamaa. Sikukuu yoyote ni adhimisho la pamoja: inatokana na watu kukubaliana katika kujali mambo fulanifulani au walau kuheshimiana; pia inajenga jamii kwa kurudisha furaha ya kuwa pamoja.

Kwa Wakristo sherehe kuu kuliko zote ni Pasaka: ndiyo sikukuu yenyewe ambayo inadumu siku hamsini mfululizo hadi Pentekoste na inaitwa Dominika kubwa. Kwa kweli Pasaka si sherehe mojawapo tu wala kipindi kimojawapo tu katika mwaka wa liturujia, bali ndiyo kiini chake, kama vile Dominika (Pasaka ndogo ya kila wiki) ilivyo kiini cha juma zima. Ni adhimisho la uzima mpya na wa milele ambao Kristo mfufuka anaushirikisha kwa njia ya sakramenti: ubatizo na kipaimara kwa Wakristo wachanga, kitubio kwa waliobatizwa zamani, hasa ekaristi kwa wote; humo Yesu hakumbukwi tu, bali waaminu wanakutana naye, hai tena mtukufu. Adhimisho hilo ni la pamoja kwa sababu wamekuwa moyo mmoja na roho moja katika Kristo kwa kumiminiwa Roho Mtakatifu. Kwa kumega mkate mmoja wanaimarisha ushirika wao na kuwajibika kumtambua Yesu katika wale wote wanaokutana nao, hasa maskini.

Mang’amuzi hayo ya imani yanachochea kuimba mfululizo Aleluya! Bila shaka inaimbwa na watu wakiwa njiani kuelekea kwao: hawajafikia pale watakapoimba katika heri ya starehe ya milele. Wanaimba wasije wakalemewa na mzigo wa maisha. Augustino wa Hippo alionya: “Imba anavyofanya msafiri. Imba lakini tembea, usahau uchovu wako kwa kuimba, lakini jihadhari na uvivu. Imba na tembea”. Aleluya inatokeza vizuri furaha na tumaini: ndiyo sababu ikaririwa sana. Pamoja na hayo, uhuru wa Kikristo unawadai waamini wAUshuhudie kwa matendo na hasa kwa kuwakomboa ndugu zao wanaodhulumiwa.

Kristo amefufuka kweli na atawafufua wote pia: waamini wake wataishi naye kwa Baba katika umoja wa Roho Mtakatifu. Hata sasa yu pamoja nao (ndiyo maana ya mshumaa wa Pasaka). Wakiwa naye maisha yanawanogea, kwa kuwa yote yameinuliwa tena na kufanywa mapya. Wanaamini wamekombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mauti, wamekuwa wana wa Mungu na kuishi kwa uhuru wa upendo wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Kristo amekuwa Bwana na anaendelea kueneza ufalme wake. Hawawezi kuogopa chochote tena kwa kuwa historia ni yake yeye aliye Alfa na Omega.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipindi cha Pasaka kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.