Kiswaga Boniventura Destery : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kiswaga Boniventura Destery''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha Mapinduzi]] [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Magu]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
'''Kiswaga Boniventula Destery''' ni [[Mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha Mapinduzi]] [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa jimbo la [[Magu]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[https://www.parliament.go.tz/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>

Kabla ya kuwa Mbunge Kiswaga alichaguliwa kuwa Diwani kwa mara ya kwanza mwaka 2000, akiwa ni Diwani katika Kata ya Kitongosima iliyoko katika Tarafa ya Kahangara ndani ya Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. alihudumu kama Diwani kwa Miaka 15, na mwaka 2005 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauari ya Wilaya ya Magu na kuandika Historia ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri mdogo kuliko wote tangu Wilaya ya Magu Ianzishwe.

Kiswaga 2005-2015 alihudumu katika Wilaya ya Magu Magu akiwa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla ya kujitosa katika king'anyanyiro Ubunge na kuwamwaga Wasomi wakiwemo Wahandisi na madaktari ambao waliochuana na naye.

ELIMU:

Kiswaga alibahatika kupata Elimu yake ya Msingi katika Shule ye Msingi ya Kitongosima iliyoko katika Kijiji cha Lugeye, na Baadaye Elimu ya Sekondari katika Shule ya Msingi ya Bulima, na Baadaye alipata afunzo ya Uongozi na Biashara katika Chuo cha Uongozi kilichopoko Kijitonyama ambapo alitunukiwa astashahada ya Uongozi na utawaka wa fedha.

KAZI NA MAISHA.

==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 12:38, 11 Aprili 2020

Kiswaga Boniventula Destery ni Mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Magu kwa miaka 20152020. [1]

Kabla ya kuwa Mbunge Kiswaga alichaguliwa kuwa Diwani kwa mara ya kwanza mwaka 2000, akiwa ni Diwani katika Kata ya Kitongosima iliyoko katika Tarafa ya Kahangara ndani ya Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza. alihudumu kama Diwani kwa Miaka 15, na mwaka 2005 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauari ya Wilaya ya Magu na kuandika Historia ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri mdogo kuliko wote tangu Wilaya ya Magu Ianzishwe.

Kiswaga 2005-2015 alihudumu katika Wilaya ya Magu Magu akiwa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla ya kujitosa katika king'anyanyiro Ubunge na kuwamwaga Wasomi wakiwemo Wahandisi na madaktari ambao waliochuana na naye.

ELIMU:

Kiswaga alibahatika kupata Elimu yake ya Msingi katika Shule ye Msingi ya Kitongosima iliyoko katika Kijiji cha Lugeye, na Baadaye Elimu ya Sekondari katika Shule ya Msingi ya Bulima, na Baadaye alipata afunzo ya Uongozi na Biashara katika Chuo cha Uongozi kilichopoko Kijitonyama ambapo alitunukiwa astashahada ya Uongozi na utawaka wa fedha.

KAZI NA MAISHA.

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017