Rukia yaliyomo

Atomu : Tofauti kati ya masahihisho

2 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
==Muundo wa atomu==
Lakini atomu yenyewe hufanywa na vyembechembe vidogondogo zaidi hasa sehemu 3 ambazo ni: [[protoni]], [[neutroni]] na [[elektroni]]. Sehemu hizi ndogo zaidi hazina tabia ya elementi fulani ila tu atomu yote ni elementi. Atomu zinatofautiana kutokana na idadi tofauti ya vyembechembe hivihizi vidogondogo ndani yao.
 
Atomu ni ndogo kiasi ya kwamba hazionekani kwa [[macho]] wala kwa [[hadubini]] za kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu waliunda vielelezo mbalimbali vinavyojaribu kuunganisha tabia mbalimbali za atomu zinazopimiwa.
 
Kielelezo cha [[Ernest Rutherford]] kinasema kwamba katikati ya atomu kuna kiini chenye sehemu kubwa ya maada ya atomu yote. [[Kiini cha atomu]] hufanywa na protoni na neutroni. Atomu za elementi ileile zinaweza kutofautiana katika idadi ya neutron ndani ya kiini na hali hizi tofauti huitwa [[Isotopi]] za elementi. Isotopi tofauti ya elementi moja zinapangwa kwenye nafasi ileile ya [[jedwali la elementi]]. Isotopi kadhaa si thabiti lakini [nururifu] yaani zinaweza kutoa vyembechembe au nururisho na kuhamia elementi nyingine.
 
Kiini huzungukwa na ganda ambalo ni si dutu imara lakini nafasi ya njia ambako elektroni huzunguka kiini. Nafasi hizi huitwa [[mizingo elektroni]]. Kielezo hiki kimekuwa msingi wa vielelezo vingine kama kile cha Bohr.