Walanyama : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Brown Bear us fish.jpg|thumb|[[Dubu Kahawia]], mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.]]
[[File:Brown Bear us fish.jpg|thumb|[[Dubu Kahawia]], mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.]]
[[File:Trillium Poncho cat dog.jpg|thumb|[[Paka]] na [[mbwa]], [[wanyama wa nyumbani]].]]
[[File:Trillium Poncho cat dog.jpg|thumb|[[Paka]] na [[mbwa]], [[wanyama wa nyumbani]] ni walanyama.]]
'''Walanyama''' (pia: '''Wagwizi'''; kwa [[Kilatini]]: '''Carnivora''') ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za [[wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[mamalia|mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)]]<ref>Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099</ref>.

Ukubwa wao unaanzia kwa [[vicheche]] wadogo kama (Mustela nivalis), mwenye [[gramu]] 25 na [[sentimeta]] 11, hadi [[dubu barafu]] (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima [[kilogramu]] 1,000, na [[Tembo-bahari]] wa kusini (Mirounga leonina), ambao [[wanaume]] wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na [[urefu]] wa [[mita]] 6.9 ([[futi]] 23).

Wengi wao hula nyama hasa na hapa iko msingi wa jina la kundi "carnivora" (walanyama). Kuna pia spishi kama [[rakuni]] na [[dubu]] kadhaa ambao hula kila kitu yaani nyama pamoja na matunda, jozi, nafaka na majani kadhaa. Spishi chache zimekuwa [[walamani]] kama vile [[Panda|panda]] ambao ni dubu wanaokula [[mianzi]] pekee.
Wengi wao hula [[nyama]] hasa, na ndiyo msingi wa [[jina]] la [[kundi]] "carnivora" (walanyama). Kuna pia [[spishi]] kama [[rakuni]] na [[dubu]] kadhaa ambao hula chochote, yaani nyama pamoja na [[matunda]], jozi, [[nafaka]] na [[majani]] kadhaa. Spishi chache zimekuwa [[walamani]] kama vile [[Panda]] ambao ni dubu wanaokula [[mianzi]] pekee.

==Tazama pia==
*[[Walamani]]
*[[Walavyote]]

== Picha ==
== Picha ==
Mstari 19: Mstari 14:
Nandinia binotata, Manchester Museum.jpg
Nandinia binotata, Manchester Museum.jpg
</gallery>
</gallery>

==Tazama pia==
*[[Walamani]]
*[[Walavyote]]

== Tanbihi ==
== Tanbihi ==
Mstari 25: Mstari 24:
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Carnivora}}
{{commonscat|Carnivora}}

{{mbegu-biolojia}}
{{mbegu-biolojia}}

Toleo la sasa la 07:26, 7 Aprili 2020

Dubu Kahawia, mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.
Paka na mbwa, wanyama wa nyumbani ni walanyama.

Walanyama (pia: Wagwizi; kwa Kilatini: Carnivora) ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za wanyama wa ngeli ya mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)[1].

Ukubwa wao unaanzia kwa vicheche wadogo kama (Mustela nivalis), mwenye gramu 25 na sentimeta 11, hadi dubu barafu (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima kilogramu 1,000, na Tembo-bahari wa kusini (Mirounga leonina), ambao wanaume wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na urefu wa mita 6.9 (futi 23).

Wengi wao hula nyama hasa, na ndiyo msingi wa jina la kundi "carnivora" (walanyama). Kuna pia spishi kama rakuni na dubu kadhaa ambao hula chochote, yaani nyama pamoja na matunda, jozi, nafaka na majani kadhaa. Spishi chache zimekuwa walamani kama vile Panda ambao ni dubu wanaokula mianzi pekee.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walanyama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.