Chui milia : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Uainishaji |
{{Uainishaji |
||
| rangi = #D3D3A4 |
| rangi = #D3D3A4 |
||
| jina = |
| jina = Chui milia |
||
| picha = Tigerramki.jpg |
| picha = Tigerramki.jpg |
||
| upana_wa_picha = 250px |
| upana_wa_picha = 250px |
||
| maelezo_ya_picha = Chui milia wa [[Bengali]] |
| maelezo_ya_picha = Chui milia wa [[Bengali]] |
||
| domeni = |
| domeni = |
||
| himaya = |
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama) |
||
| faila = |
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) |
||
| ngeli = |
| ngeli = [[Mamalia]] (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha watoto wao) |
||
| oda = |
| oda = [[Carnivora]] (Wanyama mbua) |
||
| nusuoda = [[Feliformia]] (Wanyama kama [[paka]]) |
| nusuoda = [[Feliformia]] (Wanyama kama [[paka]]) |
||
| familia = [[Felidae]] (Wanyama walio na mnasaba na paka) |
| familia = [[Felidae]] (Wanyama walio na mnasaba na paka) |
||
| nusufamilia = [[Pantherinae]] (Wanyama wanaofanana na [[chui]]) |
| nusufamilia = [[Pantherinae]] (Wanyama wanaofanana na [[chui]]) |
||
| jenasi = |
| jenasi = ''[[Panthera]]'' |
||
| spishi = ''[[Panthera tigris]]'' |
| spishi = ''[[Panthera tigris]]'' |
||
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758) |
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758) |
||
Mstari 24: | Mstari 24: | ||
''[[Panthera t. tigris]]''<br /> |
''[[Panthera t. tigris]]''<br /> |
||
}} |
}} |
||
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; |
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; [[jina la kisayansi]]: ''Panthera tigris''; kwa [[Kiingereza]]: ''tiger'') ni [[mnyama]] mkubwa [[Walanyama|mlanyama]] wa [[Familia (biolojia)|familia]] ya Felidae katika ngeli ya [[mamalia]], kwa hiyo chui milia hufanana na [[paka]] mkubwa. |
||
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya kusini na [[Indonesia]]. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na |
Chui milia wanaishi katika [[Asia]] katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya [[kusini]] na [[Indonesia]]. [[Mazingira]] wanayoendelea ni [[misitu]]. Siku hizi [[idadi]] ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuwindwa. |
||
Chakula chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Kama wanyama wengi wanaofanana paka chui milia hupendelea |
[[Chakula]] chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama wengine. Kama wanyama wengi wanaofanana na paka, chui milia hupendelea kuwinda peke yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka [[alama]] za [[mkojo]] na kulitetea dhidi ya chui milia wengine. |
||
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na nususpishi zao. Wale wa [[Sumatra]] ni wadogo wakiwa na urefu wa mwili (pamoja na kichwa bila mkia) sentimita 140 pekee na uzito wa |
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na [[nususpishi]] zao. Wale wa [[Sumatra]] ni wadogo, wakiwa na [[urefu]] wa [[mwili]] (pamoja na [[kichwa]] bila [[mkia]]) [[sentimita]] 140 pekee na [[uzito]] wa [[kg]] 120. Mkubwa zaidi ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita [[mita]] 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda [[simba]] wa [[Afrika]]. |
||
Jike anazaa |
Jike anazaa watoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa [[umri]] wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25. |
||
[[Picha:Tiger distribution3.PNG|thumb|300px|left|Ramani |
[[Picha:Tiger distribution3.PNG|thumb|300px|left|[[Ramani]] inayoonyesha maeneo yaliyokaliwa na chui milia mnamo [[1900]] (chungwa) na eneo lililowabakia leo (nyekundu).]] |
||
== Viungo vya |
== Viungo vya nje == |
||
⚫ | |||
* [http://swahili.cri.cn/1/2006/06/22/1@38528.htm Redio China: Habari za chui milia huko China (sw)] |
* [http://swahili.cri.cn/1/2006/06/22/1@38528.htm Redio China: Habari za chui milia huko China (sw)] |
||
{{mbegu-mnyama}} |
|||
⚫ | |||
[[Jamii:Paka na jamaa]] |
[[Jamii:Paka na jamaa]] |
Pitio la 14:54, 6 Aprili 2020
Chui milia | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui milia wa Bengali
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Chui milia (pia: babara kutoka Kiarabu: babar; jina la kisayansi: Panthera tigris; kwa Kiingereza: tiger) ni mnyama mkubwa mlanyama wa familia ya Felidae katika ngeli ya mamalia, kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa.
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya Uhindi, Siberia ya kusini na Indonesia. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuwindwa.
Chakula chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama wengine. Kama wanyama wengi wanaofanana na paka, chui milia hupendelea kuwinda peke yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka alama za mkojo na kulitetea dhidi ya chui milia wengine.
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na nususpishi zao. Wale wa Sumatra ni wadogo, wakiwa na urefu wa mwili (pamoja na kichwa bila mkia) sentimita 140 pekee na uzito wa kg 120. Mkubwa zaidi ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita mita 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda simba wa Afrika.
Jike anazaa watoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa umri wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chui milia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |