Chui milia : Tofauti kati ya masahihisho
d Chui milia huWinda wanyama ... hawawaVindi ;-) |
No edit summary |
||
Mstari 24: | Mstari 24: | ||
''[[Panthera t. tigris]]''<br /> |
''[[Panthera t. tigris]]''<br /> |
||
}} |
}} |
||
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; Kisayansi: ''Panthera tigris'') ni mnyama mkubwa mla nyama wa familia ya felidae katika ngeli ya mamalia kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa. |
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; Kisayansi: ''Panthera tigris''; Kiingereza: ''tiger'') ni mnyama mkubwa mla nyama wa familia ya felidae katika ngeli ya mamalia kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa. |
||
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya kusini na [[Indonesia]]. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwa. |
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya [[Uhindi]], [[Siberia]] ya kusini na [[Indonesia]]. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwa. |
Pitio la 12:26, 6 Aprili 2020
Chui milia | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui milia wa Bengali
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Chui milia (pia: babara kutoka Kiarabu: babar; Kisayansi: Panthera tigris; Kiingereza: tiger) ni mnyama mkubwa mla nyama wa familia ya felidae katika ngeli ya mamalia kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa.
Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya Uhindi, Siberia ya kusini na Indonesia. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuvindwa.
Chakula chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama. Kama wanyama wengi wanaofanana paka chui milia hupendelea kuvinda pekee yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka alama za kojo na kuitetea dhidi ya chui milia wengine.
Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na nususpishi zao. Wale wa Sumatra ni wadogo wakiwa na urefu wa mwili (pamoja na kichwa bila mkia) sentimita 140 pekee na uzito wa 120 kg. Mkubwa ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita mita 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda simba Mwafrika.
Jike anazaa wadogo 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa umri wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.