Kiongozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
K
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:


==Kiongozi katika jamii==
==Kiongozi katika jamii==
Katika nchi nyingi duniani [[kiongozi]] hupatikana kwa wananchi kupiga [[kura]] ambapo watu mbalimbali wanaogombea [[uongozi]] hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana.
Katika nchi nyingi duniani kiongozi hupatikana kwa wananchi kupiga [[kura]] ambapo watu mbalimbali wanaogombea [[uongozi]] hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika [[jamii]] au kikundi cha watu hupatikana.


Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.
Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.
Mstari 11: Mstari 11:
Kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu aliye na [[umri]] mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]]. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.
Kiongozi katika [[familia]] huwa ni mtu aliye na [[umri]] mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni [[baba]] na [[mama]]. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.


Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa [[ukoo]] ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa [[viongozi]] wa juu katika ukoo.
Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa [[ukoo]] ambapo [[bibi]] na [[babu]] huwa viongozi wa juu katika ukoo.


==Kiongozi katika Biblia==
==Kiongozi katika Biblia==
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye huchaguliwa na [[Mungu]] kwa ajili ya kuongoza watu wake hapa [[duniani]].
Katika [[Biblia]] kiongozi ni mtu ambaye humwakilisha [[Mungu]] katika kuongoza watu wake hapa [[duniani]]. Hivyo anapaswa kukumbuka kwamba ameshirikishwa [[mamlaka]] ya juu na kwamba atapaswa kuhukumiwa kwa namna alivyoitumia.


[[Yesu]] alisema kwa kawaida watawala hutumia mabavu na hata hivyo hupenda kuitwa wafadhili.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Elimu jamii]]
[[Jamii:Elimu jamii]]

Pitio la 09:27, 22 Machi 2020

Kiongozi ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu. Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.

Kiongozi katika jamii

Katika nchi nyingi duniani kiongozi hupatikana kwa wananchi kupiga kura ambapo watu mbalimbali wanaogombea uongozi hupigwa kura kwa ajili ya kuwa kiongozi katika jamii au kikundi cha watu hupatikana.

Mara nyingine kiongozi huchaguliwa kwa kuteuliwa na mtu mmoja pasipo kupigwa kura.

Pia katika jamii nyingine kiongozi hupatikana kwa kurithi, ambapo mrithi huwa kiongozi kwa kurithi uongozi kutoka kwa kiongozi aliyefariki na kuachia madaraka.

Kiongozi katika familia

Kiongozi katika familia huwa ni mtu aliye na umri mkubwa katika familia husika, ambapo viongozi huwa ni baba na mama. Katika familia nyingi baba ndio huwa kiongozi mkubwa akifuatiwa na mama.

Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa ukoo ambapo bibi na babu huwa viongozi wa juu katika ukoo.

Kiongozi katika Biblia

Katika Biblia kiongozi ni mtu ambaye humwakilisha Mungu katika kuongoza watu wake hapa duniani. Hivyo anapaswa kukumbuka kwamba ameshirikishwa mamlaka ya juu na kwamba atapaswa kuhukumiwa kwa namna alivyoitumia.

Yesu alisema kwa kawaida watawala hutumia mabavu na hata hivyo hupenda kuitwa wafadhili.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiongozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.