Darasa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Removing CLASS_ROOM.jpg, it has been deleted from Commons by JuTa because: No permission since 5 March 2020.
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:CLASS_ROOM.jpg|thumb|Darasa la wanafunzi wakiwa wanasoma.]]
'''Darasa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jengo]] au [[chumba]] ambamo mafunzo ya [[elimu]] hutolewa, hasa [[shuleni]].
'''Darasa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni [[jengo]] au [[chumba]] ambamo mafunzo ya [[elimu]] hutolewa, hasa [[shuleni]].



Pitio la 15:29, 17 Machi 2020

Darasa (kutoka neno la Kiarabu) ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni.

Madarasa haya hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara kwa wanafunzi wasipatwe nacho.

Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati, pia meza ya walimu n.k.

Darasa ni pia jina la mkondo wa wanafunzi wanaosomea humo, na la somo linalofundishwa.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.