Mcheduara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Empty tin can2009-01-19.jpg|thumb|150px|Kopo hili lina umbo la mcheduara]]
[[Picha:Empty tin can2009-01-19.jpg|thumb|150px|Kopo hili lina umbo la mcheduara.]]
[[Picha:Mcheduara mraba na mshadhari.jpg|250px|thumb|Mcheduara mraba na mshadhari]]
[[Picha:Mcheduara mraba na mshadhari.jpg|250px|thumb|Mcheduara mraba na mshadhari.]]
[[Picha:Cylinder_geometry.svg|right|thumb|150| Mcheduara mraba]]
[[Picha:Cylinder_geometry.svg|right|thumb|150|Mcheduara mraba.]]
'''Mcheduara''' ''(ing. cylinder)'' ni gimba la [[Jiometri|kijiometri]] linalofanana na kopo au kipande cha pipa. Hivyo jina lake linaeleza ni [[mche (hisabati)|mche]] mwenye umbo la duara au mviringo. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake.
'''Mcheduara''' ''(kwa [[Kiingereza]]: cylinder)'' ni [[gimba]] la [[Jiometri|kijiometri]] linalofanana na [[kopo]] au kipande cha [[pipa]]. Hivyo [[jina]] lake linaeleza ni [[mche (hisabati)|mche]] wenye [[umbo]] la [[duara]] au [[mviringo]]. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake.


Kihisabati mcheduara inaweza kufafanuliwa pia kama [[uso (hisabati)|uso]] ambao ni jumla ya nukta zote zenye umbali sawa na mstari ilio katikati yake unaojulikana kama "mhimili" wake. Hii ni bila kitako.
[[Hisabati|Kihisabati]] mcheduara unaweza kufafanuliwa pia kama [[uso (hisabati)|uso]] ambao ni jumla ya [[nukta]] zote zenye [[umbali]] sawa na [[mstari]] ulio katikati yake unaojulikana kama "[[mhimili]]" wake. Hii ni bila kitako.


Kutokana na ufafanuzi huo gimba la mchemraba ni umbo thabiti uliomo ndani ya uso huo ukipakanwa na vitako viwilibapa sambamba.
Kutokana na [[ufafanuzi]] huo gimba la mchemraba ni umbo thabiti uliomo ndani ya uso huo ukipakanwa na vitako viwili bapa sambamba.
*Kama vitako vinakaa kwa pembemraba juu ya mhimili, mcheduara huitwa mraba.
*Kama vitako vinakaa kwa pembemraba juu ya mhimili, mcheduara huitwa mraba.
*Kama vitako vinakaa kwa pembe tofauti, tunapata mcheduara mshadhari.
*Kama vitako vinakaa kwa pembe tofauti, tunapata mcheduara mshadhari.
Mstari 14: Mstari 14:
*eneo la uso bila bapa zinazopakana M = 2 π r h
*eneo la uso bila bapa zinazopakana M = 2 π r h
*eneo la uso wote E = 2 π r 2 + 2 π r h
*eneo la uso wote E = 2 π r 2 + 2 π r h
{{mbegu-hisabati}}


[[Jamii:Jiometria]]

[[Jamii:Jiometri]]

Pitio la 09:48, 12 Machi 2020

Kopo hili lina umbo la mcheduara.
Mcheduara mraba na mshadhari.
Mcheduara mraba.

Mcheduara (kwa Kiingereza: cylinder) ni gimba la kijiometri linalofanana na kopo au kipande cha pipa. Hivyo jina lake linaeleza ni mche wenye umbo la duara au mviringo. Gimba la mcheduara linapakanwa na miduara bapa miwili inayokaa sambamba na kuwa vitako vyake.

Kihisabati mcheduara unaweza kufafanuliwa pia kama uso ambao ni jumla ya nukta zote zenye umbali sawa na mstari ulio katikati yake unaojulikana kama "mhimili" wake. Hii ni bila kitako.

Kutokana na ufafanuzi huo gimba la mchemraba ni umbo thabiti uliomo ndani ya uso huo ukipakanwa na vitako viwili bapa sambamba.

  • Kama vitako vinakaa kwa pembemraba juu ya mhimili, mcheduara huitwa mraba.
  • Kama vitako vinakaa kwa pembe tofauti, tunapata mcheduara mshadhari.

Mcheduara mraba huwa na

  • mjao V = π r 2 h
  • eneo la uso bila bapa zinazopakana M = 2 π r h
  • eneo la uso wote E = 2 π r 2 + 2 π r h
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mcheduara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.