Rukia yaliyomo

Maisha : Tofauti kati ya masahihisho

5 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya Hasheem17 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
(Saidy)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d (Masahihisho aliyefanya Hasheem17 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
'''Maisha''' ni [[muda]] ambao [[kiumbe hai]] anajaliwa kuishi. Ni hali tofauti kabisa na [[uzima]] wa [[milele]], kwa kuwa [[uhai]] wake una mwanzo na mwisho.
 
Hasa mwisho unasababisha maswali: kama kila chenye mwanzo kina mwisho, ya nini kuwepo kwake? Kukosa lengo, kuwepo bure, kutokuwa na maana kunamfanya mtu ajisikie mnyonge, pensaidyginepengine akate tamaa ya kuishi, la sivyo ajitose kufurahia mazuri yanayopatikana maishani, lakini bila uwezo wa kuondoa moyoni ule utupu wa maana unaomtia [[huzuni]] ya dhati.
 
Ndiyo sababu [[maana ya maisha]] ni mojawapo kati ya masuala makuu ya [[binadamu]] [[duniani]]: hawezi kukwepa maswali ya kutoka [[Moyo|moyoni]] mwake kuhusu thamani, madhumuni na umuhimu wa maisha yake.