28 Desemba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 19: | Mstari 19: | ||
==Sikukuu== |
==Sikukuu== |
||
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[sikukuu]] za [[watakatifu]] [[Watoto wa Bethlehemu]], [[Theonas wa Aleksandria]], [[Antoni wa Lerins]], [[Gaspare Del Bufalo]] n.k. |
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[sikukuu]] za [[watakatifu]] [[Watoto wa Bethlehemu]], [[Theonas wa Aleksandria]], [[Antoni wa Lerins]], [[Gaspare Del Bufalo]], [[Katerina Volpicelli]] n.k. |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
Pitio la 14:28, 3 Machi 2020
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Desemba ni siku ya 362 ya mwaka (ya 363 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 3.
Matukio
- 418 - Uchaguzi wa Papa Bonifasi I
- 2011 - Kim Jong-un akawa kingozi mkuu wa Korea Kaskazini baada ya mazishi ya baba yake
Waliozaliwa
- 1164 - Rokujo, mfalme mkuu wa Japani (1165-1168)
- 1856 - Woodrow Wilson, Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919
- 1880 - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1944 - Kary Mullis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1993
- 1990 - David Archuleta, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
- mnamo 6 BK - Watoto wa Bethlehemu wakati wa kuzaliwa Yesu - hii ni tarehe ya kuwakumbuka kiliturujia
- 1622 - Mtakatifu Fransisko wa Sales, askofu Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa kutoka Ufaransa
- 1991 - Cassandra Harris, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu za watakatifu Watoto wa Bethlehemu, Theonas wa Aleksandria, Antoni wa Lerins, Gaspare Del Bufalo, Katerina Volpicelli n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |