3 Oktoba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 16: | Mstari 16: | ||
==Sikukuu== |
==Sikukuu== |
||
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] za [[watakatifu]] [[Denisi Mwareopago]], [[Kandida wa Roma]], [[Fausto, Kayo na wenzao]], [[Esiki wa Maiuma]], [[Masimiani wa Bagai]], [[Evaldi na Evaldi]], [[Jeradi wa Brogne]] n.k. |
[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[kumbukumbu]] za [[watakatifu]] [[Denisi Mwareopago]], [[Kandida wa Roma]], [[Fausto, Kayo na wenzao]], [[Esiki wa Maiuma]], [[Masimiani wa Bagai]], [[Evaldi na Evaldi]], [[Jeradi wa Brogne]], [[Emilia wa Villeneuve]] n.k. |
||
==Viungo vya nje== |
==Viungo vya nje== |
Pitio la 14:00, 3 Machi 2020
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Oktoba ni siku ya 276 ya mwaka (ya 277 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 89.
Matukio
- 1932 - Nchi ya Iraq inapata uhuru kutoka Uingereza
- 1990 - Ujerumani umeunganika tena kuwa nchi moja. Mikoa yote ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani inajiunga na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani
Waliozaliwa
- 1458 - Kasimir Mtakatifu, mwana mfalme wa Poland
- 1904 - Charles Pedersen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 1947 - Feetham Filipo Banyikwa, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
- 1226 - Mtakatifu Fransisko wa Asizi, shemasi, mwanzilishi wa Ndugu Wadogo
- 1929 - Gustav Stresemann, mwanasiasa Mjerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1926
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Denisi Mwareopago, Kandida wa Roma, Fausto, Kayo na wenzao, Esiki wa Maiuma, Masimiani wa Bagai, Evaldi na Evaldi, Jeradi wa Brogne, Emilia wa Villeneuve n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |