Unyoya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
No edit summary
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Manyoya hadi Unyoya: urahisi wa kuupata
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:27, 25 Februari 2020

Unyoya wa Tausi

Manyoya ni vitu ambavyo humfunika ndege. yanasaidia kutunza joto la mwili kwa ndege. Manyoya pia huwalinda kutokana na majeraha. Katika spishi nyingi za ndege, manyoya huwasaidia kuruka.[1]

Marejeo

  1. http://www.yale.edu/eeb/prum/pdf/Prum_n_Brush_2002.pdf