Big Show : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:
Big Show alianza kazi yake katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la ''The Giant''. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini mkataba na [[Shirikisho]] la mieleka ulimwenguni(WWF).

Kati ya WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa [[dunia]] wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya [[WWF/WWE]] mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.
Kati ya WWF/WWE na WCW yeye ni [[bingwa]] wa [[dunia]] wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya WWF/WWE mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia [[mataji]] manne.
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show 2018]]
[[Picha:Big Show October 2018.jpg|left|thumb|Big Show 2018]]
Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika filamu na vipindi vya [[televisheni]] kama ''Jingle All the Way'',''The Waterboy'',''Star Trek Enterprise''.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kwanza la kuongoza katika [[filamu]] ya uchekeshaji [[Knucklehead]] ambayo ilitolewa na [[WWE Studio]].

Pitio la 13:35, 16 Februari 2020

Huyu ni Big Show akiwa ulingoni

Paul Donald Wight II(amezaliwa 8 Februari 1972) ni mpiganaji wa mieleka na muigizaji wa Marekani,amesajiliwa kwenye kampuni ya WWE,ambapo anafanya kazi kwenye brandi ya Raw na anajulikana kwa jina la Big Show.

Big Show alianza kazi yake katika Mashindano ya World Championship Wrestling(WCW), ambapo alijulikana kwa jina la The Giant. Mnamo mwaka wa 1999 alisaini mkataba na Shirikisho la mieleka ulimwenguni(WWF).

Kati ya WWF/WWE na WCW yeye ni bingwa wa dunia wa saba, akiwa ameshikilia mataji ya WCW World Heavyweight Championship mara mbili, Mashindano ya WWF/WWE mara mbili,WWE World Heavyweight Championship mara mbili na ECW World Heavyweight Championship mara moja,na huyu ndiye mtu pekee aliyeshikilia mataji manne.

Big Show 2018

Nje ya kuwa mpiganaji,Wight ameshiriki katika filamu na vipindi vya televisheni kama Jingle All the Way,The Waterboy,Star Trek Enterprise.Mnamo mwaka 2010 alikuwa na jukumu la kwanza la kuongoza katika filamu ya uchekeshaji Knucklehead ambayo ilitolewa na WWE Studio.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Big Show kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.