Muwa : Tofauti kati ya masahihisho
d The file Image:Faz_S_Sofia_canavial_090607_REFON_.JPG has been replaced by Image:Faz_S_Sofia_canavial_090607_REFON.JPG by administrator commons:User:Ymblanter: ''Robot: Removing space(s) before file extension''. ''[[m:User:CommonsDelinke... |
No edit summary |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
''[[Saccharum officinarum|S. officinarum]]'' <small>L.</small> |
''[[Saccharum officinarum|S. officinarum]]'' <small>L.</small> |
||
}} |
}} |
||
'''Miwa''' (''Saccharum'' spp.) ni aina za [[nyasi |
'''Miwa''' (''Saccharum'' spp.) ni aina za [[nyasi]] zinazotoa [[sukari]]. |
||
[[Asili]] yake ilikuwa [[Asia ya Mashariki]] na kutoka huko zimesambazwa katika nchi za [[tropiki]] zenye [[mazingira]] yanayofaa kwake. |
|||
[[Kilimo]] cha [[mmea]] huo ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi ya [[binadamu]] na pia kwa sehemu kubwa ya [[ethanoli]] inayotengenzwa kwa matumizi ya [[biofueli]]. |
|||
Kwa ajili yake katika [[karne]] za nyuma ilistawi [[biashara ya watumwa]] hasa kutoka [[Afrika]] kwenda [[Amerika]]. |
|||
==Kilimo== |
==Kilimo== |
||
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki |
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ukiwa ni chanzo cha [[asilimia]] 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa kwa wingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000) |
||
* [[ |
* [[Brasil]] (420.121) |
||
* [[Uhindi]] (232.320) |
* [[Uhindi]] (232.320) |
||
* [[China]] (92.130) |
* [[China]] (92.130) |
||
Mstari 31: | Mstari 37: | ||
Nchi za [[Afrika ya Mashariki]] huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama [[Tanzania]] (tani 300,000), [[Kenya]] (5,112,000) na [[Uganda]] (2,350,000).<ref>takwimu 2008 ya [[FAO]] http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor</ref>. |
Nchi za [[Afrika ya Mashariki]] huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama [[Tanzania]] (tani 300,000), [[Kenya]] (5,112,000) na [[Uganda]] (2,350,000).<ref>takwimu 2008 ya [[FAO]] http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor</ref>. |
||
Kati ya |
Kati ya mwaka 2004 na 2008 [[uzalishaji]] duniani uliongezeka kutoka tani [[bilioni]] 1.34 kufikia tani bilioni 1.74. <ref>takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops</ref> |
||
==Picha== |
==Picha== |
Pitio la 12:45, 16 Februari 2020
Muwa (Saccharum spp.) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miwa inayotoa maua
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Miwa (Saccharum spp.) ni aina za nyasi zinazotoa sukari.
Asili yake ilikuwa Asia ya Mashariki na kutoka huko zimesambazwa katika nchi za tropiki zenye mazingira yanayofaa kwake.
Kilimo cha mmea huo ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi ya binadamu na pia kwa sehemu kubwa ya ethanoli inayotengenzwa kwa matumizi ya biofueli.
Kwa ajili yake katika karne za nyuma ilistawi biashara ya watumwa hasa kutoka Afrika kwenda Amerika.
Kilimo
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ukiwa ni chanzo cha asilimia 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa kwa wingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000)
- Brasil (420.121)
- Uhindi (232.320)
- China (92.130)
- Thailand (49.572)
- Pakistan (47.244)
- Mexiko (45.127)[6]
Nchi za Afrika ya Mashariki huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama Tanzania (tani 300,000), Kenya (5,112,000) na Uganda (2,350,000).[1].
Kati ya mwaka 2004 na 2008 uzalishaji duniani uliongezeka kutoka tani bilioni 1.34 kufikia tani bilioni 1.74. [2]
Picha
-
Majani
-
Miwa njano
-
Miwa myekundu
-
Shamba la miwa
-
Miwa iliyokatika
Marejeo
- ↑ takwimu 2008 ya FAO http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor
- ↑ takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |