Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 33: Mstari 33:
}}
}}


'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]] [[1847]] – [[29 Oktoba]] [[1911]]) alikuwa [[Mhariri]] wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.
'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]] [[1847]] – [[29 Oktoba]] [[1911]]) alikuwa [[mhariri]] wa [[magazeti]] nchini [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao.
Katika hati ya [[wasia]] yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa [[mwaka]] wa [[1912]].
Tangu mwaka [[1917]], [[chuo]] hicho kimetoa ''[[Tuzo ya Pulitzer]]'' kwa ajili ya [[maandishi]] bora.


{{DEFAULTSORT:Pulitzer, Joseph}}
{{DEFAULTSORT:Pulitzer, Joseph}}

Toleo la sasa la 12:52, 6 Februari 2020

Joseph Pulitzer

Amekufa 29 Oktoba 1911
South Carolina, Marekani
Kazi yake Mwanahabari, Wakili, Mwanajeshi.
Dini Myahudi
Ndoa Katherine "Kate" Davis


Joseph Pulitzer (10 Aprili 184729 Oktoba 1911) alikuwa mhariri wa magazeti nchini Marekani; lakini alizaliwa nchi ya Hungaria. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao.

Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya Chuo Kikuu cha Columbia iliyofunguliwa mwaka wa 1912.

Tangu mwaka 1917, chuo hicho kimetoa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya maandishi bora.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Pulitzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.