Mtumiaji:Mtongori : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 14: Mstari 14:
|tovuti rasmi =
|tovuti rasmi =
}}
}}
Karibu kwenye ukurasa wa '''Matinde John''', ni mhariri wa [[Wikipedia]] ya [[Kiswahili]] kutoka nchini [[Tanzania]].Pia Matinde John Amehitimu shahada ya kwanza ya Uhandisi wa electrokia na Mawasiliano kutoka chuo kikuu cha '''Mtakatifu Yosefu''' kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania .
Karibu kwenye ukurasa wa '''Matinde John''', ni mhariri wa [[Wikipedia]] ya [[Kiswahili]] na [[Kiingereza]] kutoka nchini [[Tanzania]].Pia Matinde John amehitimu shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Electrokia na Mawasiliano 2018 kutoka chuo kikuu cha '''Mtakatifu Yosefu''' kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania .


==Kuzaliwa==
==Kuzaliwa==

Pitio la 19:39, 30 Januari 2020

Matinde John
Jina la kuzaliwa Mtongori
Alizaliwa 1992 Feb 28
Nchi Tanzania
Kazi yake Mhandisi
Wazazi John Chegere Marwa na Bhoke Magabe

Karibu kwenye ukurasa wa Matinde John, ni mhariri wa Wikipedia ya Kiswahili na Kiingereza kutoka nchini Tanzania.Pia Matinde John amehitimu shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Electrokia na Mawasiliano 2018 kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu Yosefu kilichopo Mbezi Dar es salaam Tanzania .

Kuzaliwa

Matinde John alizaliwa tarehe (28 feb 1992 ) wilaya ya  Kibaha mkoa wa Pwani .Pia Matinde John ni mtoto wa nne kwenye familia ya John Marwa Masero (Chegere) iliyopo Kijiji cha Nyang'aranga kata ya Mugeta mkoa wa Mara, Majina mengine  Matinde John ni Mtongori ndo jina maarufu hapo Kijijini kwao Nyang'aranga

Shule ya Msingi

Matinde John alisoma shule ya msingi Nyang'aranga iliyopo Wilaya ya Bunda Mara toka darasa la kwanza mpaka darasa la tano na baadae kuhamia shule ya Msingi Kiluvya wilaya ya Ubungo iliyopo mkoa wa Dar es salaam.Baada ya kumaliza darasa la saba alifaulu na kuchaguliwa shule ya sekondari ya kibamba. [1]

Shule ya Sekondari

Matinde John alianza shule ya Kibamba sekondari toka mwaka (2008-2011) kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne masomo ya sayansi .Alifaulu kidato cha nne.[2] mwaka 2011 na kuchagulia kidato cha tano Azania[3] .Mwaka wao ndo walikuwa wa pili kumaliza kidato cha nne baada ya kuanzishwa Kibamba.Kibamba sekondari ni mojawapo ya shule za kata katika kata ya Kibamba wilaya mpya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam[4].Ubungo ni mojawapo ya wilaya mpya zilizoongeza Tanzania Ubungo imeongezeka baada ya wilaya ya Kinondoni kugawanyika na kupatika wilaya ya kinondoni na Ubungo

Shule ya kidato cha tano na sita

Pia Matinde John alisoma Azania[5] sekondari PCM.(Physics chemistry na Mathematics) toka mwaka 2012-2014

Chuo Kikuu

Alisoma chuo kikuu cha mtakatifu Yosefu (St Joseph college of Engineering and Technology) kilichopo mbezi Dar es salaam Tanzania toka mwaka (2014-2018).Mtongori ni mhandisi wa electrokia Na mawasiliano inayojulikana kama (Electronic and communication engineering)

Maisha yake

Matinde John kwa sasa amemaliza shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Uhandisi kilichopo wilaya ya Ubungo mkoa wa Dar es salaam.Matinde John ni mtoto wa nne wa kiume katika familia ya Mzee John Marwa Masero na mtoto wa tatu kwa upande wa Mama yake Bhoke Magabe.

sw-3 Mtumiaji huyu aweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha juu.

Marejeo

  1. https://www.sitelinks.info/search/matokeo-ya-darasa-la-saba-2007/
  2. http://196.44.162.33/necta2011/CSEE%202011/s3091.htm
  3. https://www.scribd.com/doc/51144533/Orodha-Ya-Wavulana-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-tano-2011
  4. http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Dar-yapendekeza-wilaya-mbili-mpya/1597296-2291018-11ugp8bz/index.html
  5. http://www.azaniasecondary.sc.tz/