Catherine Valentine Magige : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
nmeongeza neno
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Catherine Valentine Magige''' ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka mitano ([[2015]] – [[2020]]. ) <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref>
'''Catherine Valentine Magige''' alizaliwa 8/5/1981 mkoani Arusha. Alpata elimu yake ya Msini katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.<ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>. Ni [[mwanasiasa]] [[Mtanzania]] na mwanachama wa [[chama cha kisiasa]] cha [[CCM]]. Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[Viti maalum vya wanawake]] kwa miaka mitano ([[2015]] – [[2020]]. ) <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/ Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref> 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba <ref>https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/ </ref>


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 20:09, 25 Januari 2020

Catherine Valentine Magige alizaliwa 8/5/1981 mkoani Arusha. Alpata elimu yake ya Msini katika shule ya msingi Kimandolu kuanzia 1989-1995 na elimu ya sekondari katika shule wa wasichana Ngarenaro kuanzia 1996-1999.[1]. Ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka mitano (20152020. ) [2] 2014 alikuwa mwakilishi katika bunge la Katiba [3]

Marejeo

  1. https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  3. https://www.jamiiforums.com/threads/wasifu-wa-ndani-mh-catherine-magige-na-nia-yake-ya-2015.290791/